Mlevi tu huyo, akikushtukia atakufanya nini mtu kaisha kwa gongo huyo. Tena wapo wengi tu huko uswahilini wanalitia aibu jeshi, wao kutwa kushinda kwenye chibuku tu, sijui mazoezi wanafanya saa ngapi!
Sasa Kama Vita Na Shuruba Hakuna Zaidi Tu Ya Kutupigia Misele Na Magari Yao Ya Pesa Walizopata Kutoka Sudan, Congo Na Comoro Wewe Ulitegemea Nini? Tena Bora Angelala Askari Mwingine Kapuku Tu Lakini Siyo Wa Dizaini Hiyo ktk Picha Kwani Hao MP Wanasifika Kwa Shuruba, Uvumilivu na Ukakamavu. Halafu Hilo Lisura Kama Nalifahamu Vile! Ngoja Niwazukie Washikaji Lugalo Pale Maeneo Ya Mesini Nikapate Data Kamili. Ana Sura Kama Ya KIHAYA au KIHA au MNYIRAMBA au MRANGI Kwani Kiasili Hao Ndio Huwa Mabwege Mabwege Na Mivivu........ Kagera, Kigoma, Singida Na Kondoa Oyeeeeeeeee............................!