Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,201
- 255
Kuna mwanachama mmoja wa jamii forum yuko muhimbili amelazwa kwa jina ni athumani hamisi , nashangaa kwanini hatumpi pole tunajifanya hatujui kinachoendelea au kwasababu yeye ndio aliyehusika katika ukaguzi wa wale vijana wawili wakati ule wa mshike mshike ?
Tuwe waungwana jamani
Kuna mwanachama mmoja wa jamii forum yuko muhimbili amelazwa kwa jina ni athumani hamisi , nashangaa kwanini hatumpi pole tunajifanya hatujui kinachoendelea au kwasababu yeye ndio aliyehusika katika ukaguzi wa wale vijana wawili wakati ule wa mshike mshike ?
Tuwe waungwana jamani
Mkuu unasemaje? Come again Please? alikagua?Kuna mwanachama mmoja wa jamii forum aliyehusika katika ukaguzi wa wale vijana wawili wakati ule wa mshike mshike ?
Sasa Shy ndugu yangu mtu wawezaje kumpa pole mtu usiyefahamu kama ni mgonjwa? Ungetuambia fulani bin fulan anaumwa na yuko hospitali fulani tumuombee ili apate kupona.
Shy wewe si ni mwandishi wa habari? sasa mbona walaumu kutatuka kwa kaputura kabla ya kuuona msumari uliotoboa??
Mkuu unasemaje? Come again Please? alikagua?
wale vijana wawili waliokamatwa wakati ule - huyo athumani hamisi ndio alisaidia katika kuwapekuwa umeelewa sasa ??
I'm very skeptical na hizi harambee za kuweka pesa kwenye account za watu wabaki. Hivi huyu bwana hana account? Hana mke, watoto, kaka, dada etc wenye accounts?
Huyu nae sijui karogwa......hivi nikuulize ulilipwa kiasi gani kwa kuishtaki JF polisi?Ni mpiga picha wa dailynews mwanakijiji anamjua sana huyu jamaa ni rafiki yake mzuri huwa anatumiana nae picha mbali mbali za habari na matukio
...Wanahusiana vipi na Asha Baraka??Tumchangia apate faranga za kulipia matibabu lakini isiwe kwa account ya Asha Baraka. Walio karibu naye wawasiliane atoe account yake naamini anayo. Haya wana JF mwenzetu anahitaji msaada wetu.
Huyu nae sijui karogwa......hivi nikuulize ulilipwa kiasi gani kwa kuishtaki JF polisi?