Landrover 109
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 455
- 678
Mwanahiphop:
- Ni B Boy (Mvunjaji) anayevunja na kuharibu mazingira Hadi kiroho kila siku.
- Ni MC (Mchanaji) shujaa wa maneno ya kujenga kiroho na kiakili
- Ni Graffiti (Machata) anaefikiri na kukua kiroho ili aweze kuchora amani, upendo, umoja na furaha
- Ni DJ anayepeleka haki anaposcratch tunt a bles
- Ni beat boxer ambaye mwili wake unaemezea sanaa kupitia sauti yake ya ya mdundo kupitia mdomo
- Ni fashion, inayoficha hofu na aibu iliojificha katika jamii kandamizi
- Ni lugha ya mtaani yenye mafumbo na upendo isioeleweka kirahisi kwa watu wasioumiza akili
- Ni mjasiriamali anawakilisha utaalam wa namna ya kuikimbia umasikini kupitia uzoefu tunapopitia kila siku mitaani kutumia ujumbe wake.