MwanaHalisi linafichukua waandishi wengine; kwanini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MwanaHalisi linafichukua waandishi wengine; kwanini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by M-bongo, Dec 11, 2009.

 1. M

  M-bongo JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 338
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Invisible usiiondoe hii tujadiliane.

  Wiki hii nimeona jambo lilinistua nikiwa Mwandishi wa Habari nikiwa kikazi mkoani nimesoma story ya mwanahalisi na kujiuliza huu utamaduni utatufikisha wapi wa kufanya kile ambacho mabosi wetu ama wanaotufadhili kutuamulia nii cha kuandika.

  Nimejiuliza hivi baada ya story y Mwanahalisi iliyomuhusu Mhariri wa Mwananchi Denis Msaki ilipoanza kuandikwa na Gazeti la Nipashe ingawa kwa kuficha Identity Jtano mwanahalisi wakaamua kumuweka muhariri na mwandishi mwenzao hadharani yale nilosoma kwanza nilistuka kuona Kubenea anafanya itu hicho najiuliza Tulisoma HABARI KUHUSU BALILE,MANYERERE LEO MSAKI NAJIULIZA NANI YUKO SALAMA PALE BOSS ANAPOTAKA FLANI AANDIKWE.

  Msaki nakumbuka alivyokuwa busy kubenea alipomwagiwa Tindi kali pale Muhimbili jinsi waandishi walivoshirikiana kumsaidia najiuliza nani yupo salama mkononi mwa kubenea kama sisi wenyewe tunashindwa kulindana anafanya hili kwa maslahi ya nani najiuliza baada ya msaki nani anafata hili ni jambo la kusikitisha.
   
 2. W

  Wasegesege Senior Member

  #2
  Dec 13, 2009
  Joined: Oct 22, 2009
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo ndo Said wa Kubenea, anayehitaji UMAARUFU WA BEI RAHISI
   
 3. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Principle ya uandishi wa habari iliyovunjwa ni ipi?
   
 4. M

  Mkulima mimi JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2009
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 233
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Hivi ulitaka kutuambia kuwa habari za zinazokinzana na taaluma ya uandishi wa habari zihusuzo waandishi wa habari zisiandikwe mimi nafikiri labda ungehoji umuhimu wa habari ile kwa watanzania ila sio msacky ni mwandishi wa habari anahitaji kulindwa mtu halindwi sababu ya uandishi wake na kama waandishi mnatunywesha sumu muambiwe pia japo shida inakuja kujua kama kubenea mzalendo kweli au anatumiwa??
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Dec 13, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,573
  Likes Received: 3,872
  Trophy Points: 280
  Hujaeleza habari gani jamaa kaandikwa, nadhani kama Kakosea Mwanahalisi wana haki ya kuandika, cha muhimu ni kuwa kama ulikuwa haujuia basi ujue sasa kuwa hili gazati la kubenea ni la JK mwenyewe, na habari zooote za ufisadi zinaandikwa kwa ruhusa ya mkuu mwenywe wala viongozi hawahumizi kichwa kama mnavyodhani, na pia hata yeye JK kaishaambiwa na akina Mkandara-UDSM kuwa watanzania wakizipokea habari za ufisadi watafurahi sana na kukuona wewe shujaa , hata kama mafisadi wasipoenda mahakamani au kurudisha mali!

  By the way mwandishi wa habari, je Sababu ya Kubenea ya kumwagiwa Tindikali mlliandika? kuwa ni mambo ya wanawake(relation) na sio ufisadi kama mlivyotaka kutuaminisha, sijaona wala sikuona gazeti lililoandika haya,

  sasa mnaanza kulana wenyewe mnataka huruma zetu,

  Ukisimamia principle unaidhi ni mzuri sana, ukibase upande mmoja, unaishi kwa mashaka mashaka

  cheers!
   
Loading...