Mwanahalisi lawatusi Dr. Slaa na Lipumba

Mwanahalisi lawatusi Dr. Slaa na Lipumba

manga mseke

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2015
Posts
470
Reaction score
90
Kwenye gazeti la mwanahalisi la leo jumatatu tarehe 7.12.2015 limeandika na kukashifu viongozi hawa wastaafu wa vyama vya CUF na CHADEMA kwa kuaita wasaliti wakubwa.

Maneno yaliondikwa kwenye gazeti lile kwa kweli hayavumiliki lugha chafu kusema msaliti mjinga ni lugha za kuudhi sana ikizingatia wale ni viongozi wastaafu wa vyama vya CHADEMA na CUF.

Kubenea ametumwa na viongozi wa CHADEMA kuwatukana?
 
Tulipoambiwa ambiwa sisi ni malofa mbona hukuja kuandika kama hivi
 
Kubenea haitendei haki tasnia ya habari.......ni mshabiki mno

VIPi kipindi kile Msukuma/Nape/Lusinde kumtukana Lowasa kuwa kujinyea wakati wa kampeni kupitia Runinga ya star tv vipi ukilonganisha na ya akina Lipumba ipi ina ahueni
 
kwenye gazeti la mwanahalisi la leo jumatatu tarehe 7.12.2015
leandika na kukashifu viongozi hawa wastaafu wa vyama vya cuf na cdmkwa kuaita wasaliti wakubwa
maneno yaliondikwa kwenye gazeti lile kwa kweli hayavumiliki lugha chafu kusema msaliti mjinga ni lugha za kuhudhi sana ikizingatia wale ni viongozi wastaafu wa vyama vya cdm na cuf
au kubenea ametumwa na viongozi wa cdm kuatukana?
weka habari ili tupate uhuru wa kuchangia kwa fikra huru. Maana hapo umetoa mtazamo wako baada ya kusoma.

Sisi unatunyima haki ya kuchangia mada yako mkuu.
 
Watu humu ndani wa ajabu kweli. Hivi kweli kuna tusi gani kubenea katukana hapo kwenye gazeti la leo. Kwanza sio Kubeanea aliyeandika hiyo makala aliyeaandika ni mtu mwingine. Pili huyo mwandishi alichokisema kina uhongoa gani wewe kada wa CCM (Mleta mada)Kwani kuna uhongo juu ya Prof. kuwa msaliti...hivi wewe mleta mada unaelewa maana ya neon msaliti? ngoja nikuulize swali moja kati ya kubenea na Lipumba na Slaa na alikuwa wa kwanza kumkaribisha lowassa UKAWA?jibu hilo swali pili nikuulize Kama Lipumba alisema yeye kajitoa kwenye uongozi wa CUF bali anabaki kuwa mwanachama ni wakati gani aliwahi kujihusisha na shughuli za chama (kampeniza kuwanadi wagombea wa CUF) mara baada ya kujivua ueneyekiti.Slaa sitaki hata kumzungumzia kwani yeye ndo aliyeboranga kwa ubaya zaidi yeye record zinamshitaki...
 
Hvi kipindi kile huyu kubenea wale waliomwagia acid machoni kwa nin hawakumuua kabisa?
 
wale jamaa waliomwagia tindikali kubenea hawapo tena au ndio walishakua marafiki sasa
 
weka habari ili tupate uhuru wa kuchangia kwa fikra huru. Maana hapo umetoa mtazamo wako baada ya kusoma.

Sisi unatunyima haki ya kuchangia mada yako mkuu.

Mtu anataka tuchangie mawazo yake badala ya hoja.

Bora alete habari yenyewe kwa ukamilifu ndipo atoe mawazo yake.
 
Tatizo la wanahabari ni wanafiki kama jamaa aliandika ufisadi kwa miaka nane leo hata hakiandika vipi tunaona kawaida tu
 
Wameambiwa ukweli.Siku zote ukweli unauma.Na msema ukweli ndio mpenzi wa mungu.
 
VIPi kipindi kile Msukuma/Nape/Lusinde kumtukana Lowasa kuwa kujinyea wakati wa kampeni kupitia Runinga ya star tv vipi ukilonganisha na ya akina Lipumba ipi ina ahueni

Nawashangaa sana hao wanaona matusi upande wa ukawa ila maccm wakitukana ni sawa!
 
N tokea lini viongozi hao wawili waliwahi kusifiwa na gazeti la Uhuru na Mzalendo? wamekuwa leo wazuri na wa kutetewa kwa kusemwa?
 
VIPi kipindi kile Msukuma/Nape/Lusinde kumtukana Lowasa kuwa kujinyea wakati wa kampeni kupitia Runinga ya star tv vipi ukilonganisha na ya akina Lipumba ipi ina ahueni

na vipi ile ya msigwa ya wanaomshabikia lowassa wakapimwe akili,na ile ya lema ya kusema ni sifa kwa mungu fisadi lowassa kuzomea?
na vipi ile ya chadema kuwaambia cuf ni waliberal wanasupport ushoga?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom