Hizo huwaga ni heasbu za kihuni ambazo hazifuati kanuni za kihesabuTafadhar nisaidien wajuzi wa mahesabu!!
Mkuu naomba usidharau hili swali langu:- Hivi huwa nasikia kwenye maji kuna oxygen na ndio maana huwa kunakuwa na zile bubbles...swali langu:Kwa swal la chemistry wanione mimi.
Mkuu hii thread ni ya maana sana...hongera,usijali wengi tunauliza tusivyovielewa kweli na sio kwa kupima.ni vizur mtu aulize swali ambalo anahitaji ufafanuzi na si kuuliza tu ilimradi na wew umeuliza, ama kuuliza kitu unachokifahamu ili upime watu. msomi ni yule aliyekomboka kifikra na mtazamo. ahsanteni
Kabisa mkuu,Kwa ufupi watu wameleta mizaha, na kejeli, cjaona aliejenga swali thread nzima kwa nia ya kutaka kufundishwa, wengi wapo nje ya madhumuni ya Uzi huu
Tanzania nchi ya kusadikika sana kwenye vitu makini watu wana mizaha, kwenye mizaha wanachangia kwa makini
Nenda MMU utajua nnachomaanisha
Kwahiyo inamaana dunia itazunguka faster na kurudi na kunikuta palepale nitakapodrop chini?hautaganda. dunia na vitu vyote ndani yake vinazunguka kwa speed ya 1600km/hr. ni kama tuko kwenye basi ukirusha funguo juu itatua ulipo sababu nayo ipo kwenye mwendo.
hamna. utazunguka nayo.Kwahiyo inamaana dunia itazunguka faster na kurudi na kunikuta palepale nitakapodrop chini?
Tuko pamojaKwa maswali ya Kiswahili nipo hapa, kuanzia kidato cha kwanza hadi kozi zote za Kiswahili kwa mwaka wa kwanza Chuo Kikuu.
"KISWAHILI KWA MAENDELEO YA TAIFA LETU"
Irabu na konsonantikatika kiswahili kuna alfaberti mbili ni zipi hizo wakuu? msada!