Mwanafunzi wanasema chini ya miti kaliua

Mwanafunzi wanasema chini ya miti kaliua

Maandishi yako yanakeraaa....hivi hata la nne ulifika wewe!??
 
Huwa nawapuuza watu kama nyie zero brain

Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo empty minded kabisa unayesubiri mzungu aje akujengee darasa la kusomea Watoto wako jinga wewe na mvua ndo hizo zaja subiri kuisoma nba. Mbona wenzenu sehemu nyingi tu wamejitolea kujenga madarasa nyie endelezeni umwinyi tu na siasa uchwara za majitaka.
 
Umechangia kiasi gani kuondoa changamoto huyo kijijini au mtaani kwenu mkuu au kudhalilisha tu Watoto wa watu mitandaoni. Siyo fear Serikali inaanza na wewe, familia, balozi, mwenyekiti n.k jipangeni ukisubiri Serikali utangoja sana tu.

Pointless Umeishia Kuchapia Chapia Tu Hujui Hata Matumizi Ya Kodi Yako.
 
Kilaza namba mbili nimeshampata.
Kazi ya serikali ni kumpa mwanafunzi haki zake ikiwemo na kumwekea mazingira mazuri ya kupata elimu. Serikali kumpatia mwanafunzi haki zake si ombi na wala si hisani bali ni sharti kama ilivyo kwa mzazi ni sharti ampe mwanae mahitaji yake.
Suala la yeye kuchangia ujenzi ni hiari yake na wala hapaswi kulaumiwa kwakuwa si jukumu lake.
Somo la haki za binadamu na sheria ni vyema lifundishwe kuanzia msingi mpaka Chuo kikuu maana wengi hawajui haki wala wajibu wao.
Bora ungekosa mkopo tu ukachunga ng'ombe tungepata maziwa kuliko kwenda kukariri ujinga huo ni hasara kwa taifa.
Kama wazungu wanatoka Ulaya kuja kusaidia hiyo Serikali unayoisema kujenga miundombinu ya Elimu n.k wewe mzawa umetenga miguu unasubiri Serikali ikuletee, shameless men in the National.
 
Bila shaka huko ni kwao na "propesa" Lipumba. Ni vema ruzuku anayokwapua kutoka akaunti ya CUF aikimbizie kwao ili angalau wamkumbuke hata kwa elimu tu. Sasa yeye ananunulia "ntalali" za Darisalama tu!
 
Umechangia kiasi gani kuondoa changamoto huyo kijijini au mtaani kwenu mkuu au kudhalilisha tu Watoto wa watu mitandaoni. Siyo fear Serikali inaanza na wewe, familia, balozi, mwenyekiti n.k jipangeni ukisubiri Serikali utangoja sana tu.
Na kodi wanapeleka wapi ? Hiyo ni kazi ya serikali

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni aibu miaka 50....ya uhuru watoto wasomea chini ya mti. tuko bize kuwafunga wapinzani wa kisiasa.Nadhini ELIMU NI MHIMU KULIKO tunayofanya sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pambana na hali yako


Umeombwa Msaada Ngoja Uzoee Tukuache Una Mwez Mmoja Toka Ujiunge Jf Umekuja Na Akili Za Ki Facebook Kwanza Najizalilisha Kushare Mawazo Na Mtu Asiejua Matumiz Sahihi Ya Kodi Yake.
 
Wananchi wajitolee nguvu kazi wajenge madarasa, serikali itatoa cement na mabati, hakuna wa kuwaletea maendeleo zaidi ya nyinyi wenyewe, afterall, bado kuna bil.90 tunadaiwa ili tupewe bombardier yetu
 
Back
Top Bottom