Mwanafunzi wa medium school na mama yake

Mwanafunzi wa medium school na mama yake

barite

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
227
Reaction score
120
Siku moja mtoto aliona passport ya kusafiria ya mama yake ambayo baadhi ya detail alizoona ni kama ifuatavyo


NAME SALOME DANIEL

REGION MWANZA

BIRTH 1979
SEX F

Baada ya dogo kuona mama yake kaandikiwa F kwenye sex akashangaa sana alafu akamwuuliza mama yake hivi mama kwenye sex unapata F ? jitahida sana angalau upate B kwani muda si mrefu baba atakuacha je huyu mama unamshauri amjibu nini huyu mtoto?
 
Medium school ndio zipi hizo!? Nitarud kukujibu
 
Back
Top Bottom