linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,732
- 4,393
Ni kweli amechomwa kisu mara mbili na mchoma chips na amefariki.
Kisa bado hakijajulikana vizuri.
Nimetumiwa SMS na mfanyakazi mwenzangu anayesoma naye (masters) hapo UDOM
source plz!!!!!!! halafu ukome kusikitishwa na tetesi bana!!!!!!!!!
Nimekoma mkuu. Nisamehe sana.
Anaitwa shealtiaely steven mbise..alikua mfanyakazi mwenzangu...may his soul rest in peace amen
Unasikitishwa na tetesi? Tafiti kwanza Mkuu
Anaitwa shealtiaely steven mbise..alikua mfanyakazi mwenzangu...may his soul rest in peace amen
Hakulipia chips nini?
Kwa vile jina lake ni Mbise na hivyo anatoka Kaskazini therefore ni UKAWA? Umefikiaje conclusion kuwa marehemu alikuwa UKAWA?Mbayaaa, Apumzike salama.
Poleni wafiwa wote,
Poleni wote mlioguswa na msiba huo
..........Ukawa tumeshapoteza kura moja masikini.
pole mkuu...chanzo cha mauaji ni nini?
Mbayaaa, Apumzike salama.
Poleni wafiwa wote,
Poleni wote mlioguswa na msiba huo
..........Ukawa tumeshapoteza kura moja masikini.