Ogopa sana hawa watoto,hawajui lolote,akipata mimba sehemu nyingine atakusingizia wewe,nimewahi kukumbana na mambo haya binti alinisingizia mimba akiwa kidato cha tatu ilikhali sijawahi hata kumtongoza,ogopa sana,kuna mwingine alishawahi kuja kwangu ila nilikataa hata kwa kutumia kondomu kwani hawa ni watoto wakipatwa jambo lazima wakuhusishe,acha kabisa mwl,kama shetani abakuzidi speed shauri yako,mwache amalize shule ndo uhangaike naye.sikio la kufa halisikii dawa