Sasa mkuu kama mimi mwenyewe ni mwalimu unategemea nini hapo hahaWewe ni mwalimu kweli au ndio walimu wa dot com? Mwalimu nijuavyo ni mkali na si mtu wa kuwa na mazoea na mwanafunzi tofauti na yale ya darasani. Ushauri wangu au block number yake, au mwambie ashike adabu wewe ni mwalimu wake na awe na heshima kwa walimu mtishia kumpa adhabu, au riport kwa mwalimu wa nidhamu au academic master kabla ya kwenda kwa mkuu wa shule. Itakuwa shida kama mlikuwa mnabadilishana message za mapenzi. Hapo ndipo utaoteshwa mapembe. Walimu wa siku hizi hamna staha kabisa
Tandika viboko mwanafunzi huyu, kuna wasichana wengi na uru mtaani, huyu mahusiano yenu ni ya mwalimu na mwanafunzi na akivuka line chapa viboko kuliko kutafuta miaka 30 jela wakati mtaani wapo wasichana wazuriSasa mkuu kama mimi mwenyewe ni mwalimu unategemea nini hapo haha