GemMaster II
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 3,600
- 11,304
Acha wivu dogo yupo sahihi shule za washua kama hizo watoto wanafundishwa kujiamini tangu wakiwa primary unakutana na mtoto wa darasa la nne anajibiza ana mtu mzima mpaka unasikia raha wakati kayumba dogo wa la saba unamuuliza swali anajibu huku anaangalia chini mwingine anakukimbia kabisa zaidi hapo ningemuongezea kwa karne hii dogo asome kuelimika sio kutegemea kuajiriwa.Kuna tofauti ndogo sana baina ya kiburi na kujiamini.
Japo dogo anahisi kaongea kwa kujiamini, kihalisia kinachosikika hapo ni kiburi, majigambo na dharau.
By the way, bwana mdogo kesha left group. Uzungu mwingi una madhara yake nao. Nina hakika hapo alipo anaji identify kama 'they/them'.
Sawa ana akili nyingi, je marinda yapo?
mimi enzi nasoma, hizo za kata hazikuwepo. ila nimesoma shule iliyojaa watu masikini wa hali ya chini kabisa, na tuliofaulu division one form four hatufiki watano kati ya wanafunzi hamsini huko.Aina ipi, feza au Kata?
mzungu aisee anajua kuharibu vizazi vya kiafrika. hapo akitoka asipofanikiwa anaenda kuwa aidha mchawi, tapeli au mwizi, manake kazi zingine hawezi kufanya tena.Ni kada muhimu sana kwa vijana wenye ujuzi na maarifa ya mashindano mbali mbali ya michezo kama mpira wa miguu ambapo vijana hao hutumia ujuzi na maarifa yao kubashiri matokeo ya michezo mbali mbali na kujipatia pesa halali ya kujikimu
View attachment 2622183
Ahhaha kumbe kubet? DahNi kada muhimu sana kwa vijana wenye ujuzi na maarifa ya mashindano mbali mbali ya michezo kama mpira wa miguu ambapo vijana hao hutumia ujuzi na maarifa yao kubashiri matokeo ya michezo mbali mbali na kujipatia pesa halali ya kujikimu
View attachment 2622183
Huku kwetu kuna watu kama 4 hivi ni wafuasi wa upinde na familia zao ni choka mbaya acha kujifariji itafute pesa kwanguvuMwisho wao wanadondokea upinde
Wewe unavyojifariji na diploma yako vipi nayo sio matokeo ya kufaulu kwenye makaratasi tena kwa mitihani yenye maswali ya kiboya sanayani ufaulu wa makaratasi ndo unampa kiburi ivi,sema bafo dogo sana
Hatupo duniani kutafuta pesaHuku kwetu kuna watu kama 4 hivi ni wafuasi wa upinde na familia zao ni choka mbaya acha kujifariji itafute pesa kwanguvu
Sina mengi sana, pamoja na utoto wake ila naona ana point.
Cc: Wanafunzi wa shule za St. Kayumba
Kwani form 6 si wanafanya mitihani ya NECTA?? Huyu kwa anavyozungumza ni kuwa hasomi mtaala wa NECTANa anaongea baada ya kufanya paper ya form 6 na matokeo bado,
Nimecheka sana hapo kwenye nyimbo za amelowa😀😀 na wakisindikizwa na migogoro ya wazazi..dah, nchi ngumu sana hii, kutoboa ni kwa ufinyu sana.Watt wa Shule za serikali wakilud nyumbani kazi Kuangalia Singeli na Nyimbo za Amelowa hku wakisindikizwa Na migogoro ya Baba na mama ndani ya Nyumba hivi unafkiri hyo mtoto Saikolojia yake itakuw sawa kweli ?
Feza wanafanya Cambridge exams? Na wao wanafanya hio nadhani pengine shuleni kwao wanafanya makubwa kuliko pepa za nectaKwani form 6 si wanafanya mitihani ya NECTA?? Huyu kwa anavyozungumza ni kuwa hasomi mtaala wa NECTA
Hizo kada zinatoa ajira nyingi sana kwa watanzaniaAisee hata mimi nawashangaa si tu wale wanaofeli ila pia na wale ambao wanafanya hiyo mitihani, ni kupoteza muda tu, bora wajiaandae kuwa maafisa ubashiri na maafisa usafirishaji[emoji205]