tanks, nitajairibu kutafuta na kuiangalia hiyo oracle kama itanifaaSasa Mdau wewe unasoma Economic usome Networking ya nini?
Bora usome tu Office,tally...na kama ni oracle ni labda usome Oracle applications(finance) na SAP..unaweza zitafuta hizo course kwenye mtandao na utaziona.
Ila kama unataka kubadili field uko sahihi...
ndugu zangu wa fb nawashuru waliotoa maoni yao kuhusu mada yangu, pia bado nahitaji ushauri na maoni yenu.
Kijana amekuwa addicted na Facebook.Mmh! Hapo penye RED vp?
sorry, nimakosa yakibinadamu,
Kijana amekuwa addicted na Facebook.
thanksWatu mnapenda kumake assumptions. Kama hujui ni bora kuuliza. Kusoma networking haina maana kusoma social networking. Kuna kozi kibao za computer networking. Inawezekana alitaka kusoma a computer networking course which allows sharing of resources and information among interconnected devices. Hiyo nayo Facebook?
Mkuu Hermanj the fact kuwa umesoma economics haina maana kuwa hutaweza kusoma others courses kama za computer. Tunakoenda huko mbele working with computers will be even more. It is all about multidisciplinary. Kama nataka mchumi wakija wachumi wawili lakini mmoja ana ufahamu wa computer networking na huyo mwingine hana, definitely I will pick the former be'se pamoja na kunisaidia kwenye mambo ya uchumi atanisadia pia kunetwork computer zangu kwenye ofisi. I wont need to contract outsider to do that.
SALAM KWA WOTE, me nimwanafunzi wa ba (economics) natamani na napenda kusoma short course za computer kama vp networking au oracle, vp wezangu imekaa poa au nakosea?