We ni mwanaume mwenzetu,na kama unavyojua tuko wachache unapotulinganisha na wanawake!
Iwapo utafungwa leo,nguvu kazi ya uanaume itakuwa imepungua!
Namanisha nguvu kazi ya kuzalisha watoto na kuzalisha mali,na kama haitoshi wanaume ni wachache kiuwiano unapowalinganisha na wanawake!
Ukifungwa pengo lake litakosa spea,na kama haitoshi huyo mwanafunzi ukimwacha na mimba kuna uwezekano mkubwa akaitoa,na yewezekana mtoto atakayetolewa ni mwanaume!
Hivyo tunazidi kujimaliza wenyewe!
Vitani tunaenda siye,kazi ngumu siye na bado tufungwe!
Usituletee shoti ya uanaume mtaani,kwani ukosefu ukiwa korokoni utatengeneza new single mamas,orphans,widows na wazazi wasiyo na watoto!
Tuko wachache mtaani,usitufanye na wewe tukawa bidhaa adimu na mwisho tukawa extinct!
Ebu oa na ujifunze kuvumilia vishwawishi,ni kazi ngumu kwa rijali yeyote,ila ni bora ule maharage kila siku kwa uhuru,kuliko yale ya jela!
View attachment 587803