mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 428
Duuh, aise.Mmejaribu kupita hospital au mochwari. Kuna ndugu yangu alitoweka hapo karibu week nzima hapatikani wala hakuna anayejua alipo baada ya kutafuta sana alikuwa ameshafariki kwa ajali ya gari siku 8 hapo survey na sababu hakukutwa na simu wala vitambulisho ikawa ngumu kutambua yeye ni nani wala kutoa taarifa kwa ndugu.
Ni sahihi kabisa. Kwasababu kwenye utekaji; kwanza: watu wanatekwa kimwili hapa mtu anachukuliwa kinguvu na kupeleka hukooo kusikojulikana. Pili: mtu anapumbazwa akili yaani anapuliziwa Madawa kisha anajikuta anaanza kumfata mtekaji. Huko wanakoenda Kuna mawili, wanaweza kumchukulia kila kitu alichonacho na kumuacha Akiwa huru hajitambui au wanaweza kumtoa uhai.Mmejaribu kupita hospital au mochwari. Kuna ndugu yangu alitoweka hapo karibu week nzima hapatikani wala hakuna anayejua alipo baada ya kutafuta sana alikuwa ameshafariki kwa ajali ya gari siku 8 hapo survey na sababu hakukutwa na simu wala vitambulisho ikawa ngumu kutambua yeye ni nani wala kutoa taarifa kwa ndugu.
Cha ajabu kitu gani, umeishia la ngapi?Mwanafunzi udsm anaenda matembezi siku ya alkhamis
Mkuu nje ya mada kidogo. Hivi huyu jamaa aliyetekwa ana undugu na Mathias houseboy wa Mwijaku? Kwasababu jina lake la pili ni Mathias yanafanana.Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam kutoka shule ya uchumi jina lake ni Jimmy Mathias Bughado mkazi wa Tabora, ametoweka katika 0752746751View attachment 3079560View attachment 3079561
Inasikitisha sana. PoleniMmejaribu kupita hospital au mochwari. Kuna ndugu yangu alitoweka hapo karibu week nzima hapatikani wala hakuna anayejua alipo baada ya kutafuta sana alikuwa ameshafariki kwa ajali ya gari siku 8 hapo survey na sababu hakukutwa na simu wala vitambulisho ikawa ngumu kutambua yeye ni nani wala kutoa taarifa kwa ndugu.