Mwanafunzi mwingine Dar auawa kinyama!

Vitoto vya siku hizi vinajua mapenzi hadi wivu. Enzi zetu tukiwa chuo. Ukiwa na hamu ya mapenzi unakwenda mtaa wa Livingstone kwa wahaya. Utatoa dala unapewa penzi la kufa mtu na unarudi zako chuo. Kama huna dala unadandia uda hadi Manzese kwa wahaya wa bei rahisi au mtaa wa Sudan Temeke. By the way wapo hawa watoa huduma siku hizi ?
 
Iweje hawa wanao uliwa wakigombania mademu ni wasukuma tu? Isijekuwa visasi vya mgandamizo wa ngosha?
 
Duh yaani umeniliza kwa kweli!
Ehh Maulana Mola wangu naomba waepushe vizazi vyetu na balaa kama hili! Yeuwii!
 
Ulihitimu shahada ya nni huko chuoni ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…