Alitupwa dirishani kutoka ghorofa ya 3 ingia YouTube global tv online utaona video dah inasikitisha mnooooWakati Akwilina akiuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwenye daladala maeneo ya mkwajuni kinondoni jijini Dar, Feb 16 mwaka huu, mwanafunzi Shija Daudi Kasuku (20) wa chuo kikuu cha Elimu ya Biashara (CBE), Tawi la Dar, alidaiwa kuuawa kwa kusukumwa kutoka ghorofa ya tatu hadi chini.
Shija aliyekuwa akisomea Diploma ya Biashara akiwa yupo mwaka wa pili chuoni hapo, alidaiwa kuuawa na mwanafunzi mwenzake kwa kile kilichosemekana kwamba ni wivu wa kimapenzi.
Mleta uzi kalamba ugoro kabla ya kuleta huu uzi. Huwezichanganya haya matukio nawili kwa uzi mmoja maana kila tukio limetokea katika mazingira yanayotofautiana. Acha kujenga hoja za kuichonganisha jamii na serikali.!!!Leo sijui umeandika vinini.sasa habari ya akwilina inahusianaje na hii yako? Visa viwili tofauti
Alitupwa dirishani kutoka ghorofa ya 3 ingia YouTube global tv online utaona video dah inasikitisha mnoooo
Suala hapa ni Wanafunzi kufa.....!!!Leo sijui umeandika vinini.sasa habari ya akwilina inahusianaje na hii yako? Visa viwili tofauti
Series ya madent kupukutika,usiangalie subtopic angalia topic.Leo sijui umeandika vinini.sasa habari ya akwilina inahusianaje na hii yako? Visa viwili tofauti
Hii nchi sijui kama kuna mtu aliyepata elimu na akaitumia katika fani yake.Leo sijui umeandika vinini.sasa habari ya akwilina inahusianaje na hii yako? Visa viwili tofauti
Mzima,samahani kuingilia mada naomba nisaidie details za waamuziShija Kasuku, pumzika kwa amani. 2014 tulikuwa wote pale waamuzi sec. Tangulia ndugu yetu, nyuma yako mbele yetu.
Aliyemtupa ni nani mkuu?Alitupwa dirishani kutoka ghorofa ya 3 ingia YouTube global tv online utaona video dah inasikitisha mnoooo
Wivu wa mapenzi bana unakuwa kama budle sasa kuna watu wanapenda mpka wananua mabudle ya mamillionhivi huo wivu wa kimapenzi ni wa aina gani hadi mtu atolewe roho au ajitoe roho????
Mzima,samahani kuingilia mada naomba nisaidie details za waamuzi
Kuna dogo nataka aende hiyo shule,
Ila sielewi hata ilipo.
Kwamba global tv walikua wakilifahamu tukio hilo in advance hadi wawe standby wakati wa tukio na kuchukuaaa video?Alitupwa dirishani kutoka ghorofa ya 3 ingia YouTube global tv online utaona video dah inasikitisha mnoooo
Wanajiunga halichachi na mamilion yao.Wivu wa mapenzi bana unakuwa kama budle sasa kuna watu wanapenda mpka wananua mabudle ya mamillion
HowLove is a loaded gun