Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,672
Chanzo cha habari mkuuWakati Akwilina akiuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwenye daladala maeneo ya mkwajuni kinondoni jijini Dar, Feb 16 mwaka huu, mwanafunzi Shija Daudi Kasuku (20) wa chuo kikuu cha Elimu ya Biashara (CBE), Tawi la Dar, alidaiwa kuuawa kwa kusukumwa kutoka ghorofa ya tatu hadi chini.
Shija aliyekuwa akisomea Diploma ya Biashara akiwa yupo mwaka wa pili chuoni hapo, alidaiwa kuuawa na mwanafunzi mwenzake kwa kile kilichosemekana kwamba ni wivu wa kimapenzi.
Elimu ipimatunda ya vitabu vya Shigongo yameanza kuonekana sasa
elimu ya jinsi ya kuhabarisha kidakuElimu ipi
Sipendi kumtweza mtu au kumsifu mwingine. Nakuombea usijepatwa na jini linaitwa "wivu wa mapenzi"!hivi huo wivu wa kimapenzi ni wa aina gani hadi mtu atolewe roho au ajitoe roho????
Hajawahi achwa au kuacha wewe, maumivu ya mapenzi yasikie kwa mtu mwingine, omba yasikukute, yahitaji utashi wa ziada kuyakabili maumivu yake[emoji2]hivi huo wivu wa kimapenzi ni wa aina gani hadi mtu atolewe roho au ajitoe roho????
Ijumaa!Chanzo cha habari mkuu