basi hapo eti mwanamke atajifnya kulia mnoo mpka kuzimia msibani ..wakati amechangia kusbabisha mauti ya Jamaa ...sasa kma huwa mnamipngo yakujiuwa kwanni huwa mnasoma lakini ..mnamaliza Pesa bure tuSiku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa kuwa mwanafunzi Shija wa Chuo cha Biashara CBE Dar es salaam amefariki kutokana na ugomvi wa mapenzi na ikadaiwa kuwa alirushwa kutoka gorofani kwenye Hostel baada ya kutokea ugomvi huo.
Mkuu wa Chuo hicho Profesa Emmanuel Mjema ambaye ameeleza kuwa tukio hilo lilitokea katika hosteli binafsi maeneo ya Ilala na sio katika hosteli ya chuo kama ilivyokuwa ikizungumzwa kwenye mitandao ya kijamii.
Profesa Mjema ameeleza kuwa Marehemu anayetambulika kwa jina la Shija alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanafunzi mwenzake na siku ya tukio alikwenda kumtembelea na kumkuta akiwa na Mwanaume mwingine.
Baada ya kuwakuta ugomvi uliibuka na kupelekea Shija kujirusha mwenyewe kutoka ghorofani na kufikwa na mauti.
Siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa kuwa mwanafunzi Shija wa Chuo cha Biashara CBE Dar es salaam amefariki kutokana na ugomvi wa mapenzi na ikadaiwa kuwa alirushwa kutoka gorofani kwenye Hostel baada ya kutokea ugomvi huo.
Mkuu wa Chuo hicho Profesa Emmanuel Mjema ambaye ameeleza kuwa tukio hilo lilitokea katika hosteli binafsi maeneo ya Ilala na sio katika hosteli ya chuo kama ilivyokuwa ikizungumzwa kwenye mitandao ya kijamii.
Profesa Mjema ameeleza kuwa Marehemu anayetambulika kwa jina la Shija alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanafunzi mwenzake na siku ya tukio alikwenda kumtembelea na kumkuta akiwa na Mwanaume mwingine.
Baada ya kuwakuta ugomvi uliibuka na kupelekea Shija kujirusha mwenyewe kutoka ghorofani na kufikwa na mauti.
Alitumwa na wazaz wake chuo kikuu kusoma au kuendekeza ngono na zinaa,,upumbavu wake ndio umempeleka huko ,unajitosa kisa mwanamke wakati unaweza kua nawe na akawa analiwa na watu zaidi ya wanne ,vijana wa sasa tutaangamia kwa kukosa maarifa aseeWasije wakawa wamemrusha wanasema alijirusha mwenyewe
Pumzika kwa Amani shija huku mbebez wako anakula mautam ila kama umejiua pole yako
Habari niliyoipata jana ni kwamba Marehemu alisukumwa.Ujiue alafu ukaishi salama peponi...msimpe moyo marehem fala huyo...fii nari jahannam...ameidhulumu nafc yake