Mwanafunzi CBE ajiua kisa mapenzi

Duuh! Hawakukosea waliosema tujue kuzizuia hasira zetu sababu bila hivyo dunia isingekuwa sehemu salama kwani wenye kupata maudhi kama hayo ni wengi na itakuwaje wote wakiwa na maamuzi kama ya Shija?.

Pia tujifunze kupenda kwa kiasi jamani.
 
Shija from koromije, mapenzi yana wenyewe jamani
 
Alikuwa zuzu kama alijirusha mwenyewe, huyo binti atasahau na kuendelea kuliwa
Huwa ukisababisha kifo kitaalamu huwez sahau hata siku moja huwa katika kumbukumbu kubwa saana na huwa inakupa mawazo muda wote kila utakaposikia aina ya tukio kama lile na huwa mwanamke au mwanaume huwa moyo wa kupenda hanaga tena
 
Ujiue alafu ukaishi salama peponi...msimpe moyo marehem fala huyo...fii nari jahannam...ameidhulumu nafc yake
 
Wasukuma bwaaanaaa
 
Kwa sisi wenzake na Shija tusiojua kupenda kwa kiasi, huwa tunahakikisha hatupendi kabisa.
Pumzika kwa amani kamanda wa Real Love.
 
YULE WA MBEYA NAYE KAMWACHA INJINIA AENDELEE KUMTAFUNA MKEWE bila vikwazo..
 
Kama kajirusha mwenyewe KAFA KISHUJA, kama kasukumizwa VERY SAD. Rip Shija. Ila wanaume wa kanda ya ziwa siku hizi mnaongoza Kwa kujiua Kwa sababu ya papuchi. Siku hizi siyo wahehe tena na hata hivyo hawana historia ya kujiua Kwa sababu ya kitumbua
 
Huyu alikuwa msukuma wa mapenzi
Anaitwa Shija huyo, ni walewale wa kulekule.
Ila kwenye kifo hatulaumiani.
Mungu ameleta. Mungu ametwaa. Jina lake Litukuzwe.

Tujifunze kupenda kidogo, na kuelewa kuwa kama amenipenda mimi anaweza kumpenda mwingine pia. Binadamu wote ni sawa na nchi ni moja.

RIP Kijana
 
Alikuwa na umri gani?
Mtuwekee na picha ya huyo binti tumuone.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…