Kati ya masuala yanayotukera sisi JF users ni kitendo cha uongozi wa JF kutunyima access ya kuhariri title ya Threads humu Jamvini.Heading na uzi kwa ujumla hausomeki vizuri ,soma tena kisha edit.
Makongo juu Kuna sehrmu unaijua Ina vyumba/chumba?Mwambie apange makongo juu
Mara nyingi watu kama wewe wanaorukiarukia threads za watu huwa hawana msaada.Heading na uzi kwa ujumla hausomeki vizuri ,soma tena kisha edit.
Unakosea kosea sana uandishi wako.Mara nyingi watu kama wewe wanaorukiarikia threads za watu huwa hawana msaada.
Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Budget isizidi 60,000 kwa mwezi. Kama kikiwa na choo cha kujitegemea kitafaa zaidi.Anataka Cha aina gani mkuu
So what, do you have to comment on this thread?Unakosea kosea sana uandishi wako.
Punguza ujuaji.