Ana akili kama adolf hitler,but tukuhoji alikiwa mpenzi wako?!
ulmpga picha hizo wew?!
nini kinathibitisha kuwa huyu ndie!?
Kama huna uthibisho wa hili ni busara kufuta post utauwa una wivu wa hali ya juu kuliko hata wa Yuda.
Kama unavithibitisho weka picha zake halis katika mtririko ,unaleta maana bt not in this
way...utaonekana mjinga tu na utabaki kuelewka hvy na ww ujitambue hivyo mara baada ya kumaliza kusoma hapa