Mwanafunzi ajiua kwa Bastola, aacha ujumbe mwili wake uchomwe moto

Ukute hapo mwenye Bastola kamtandika Tu Risasi kisha akaandika maneno hayo ili abakiwe na Mali labda ambazo dogo anazo. Maana kama mshua yupo state ina maana dogo ana mpunga
Kuwa State sio kwamba ni lazima awe na mpunga mazee...
 
Mtu kajiua unasema rest in peace wewe kama sio mfuasi wa mudi basi ni mfuasi wa kanisa linaloruhusu unywaji wa pombe hata kanisani

Mudi ndio nini? Sikiliza mzee, kama ndio unafikiri uislamu umetutaka tutamke hayo maneno ya R.I.P umechemka mzee, uisilamu haujatufundisha kutamka hilo neno la kipumbafu. Sio kwamba waislamu hawapo wanaolitamka neno hilo, wapo baadhi wanalitamka na sidhani kama linaswihi, sheikh wangu Ami atanisaidia hilo.
 
RIP wanakusudia rest in peace au sio?.Sio huwa tunawaombea maiti wetu maghfira ili wasamehewe yale waliokosea .Kwa sababu tunaamini hata ukiwa mcha Mungu vipi basi utamkosea Mungu kwa mambo ambayo hukukusudia.Hatusemi apumzike kwa amani.Amani ya kweli ni baada ya hukumu iwapo mtu ataipata.
 
Ukute hapo mwenye Bastola kamtandika Tu Risasi kisha akaandika maneno hayo ili abakiwe na Mali labda ambazo dogo anazo. Maana kama mshua yupo state ina maana dogo ana mpunga

Kwa hiyo wote waliopo US wanampunga? Baba yake alifariki…
 
Haliswihi kabisa,huko ni kufuata mila zao,sisi tunasema SISI WOTE NI WA MWENYEZI MUNGU NA KWAKE LAZIMA TUTAREJEA.

Back
Top Bottom