Mwanafunz aliyempa mimba ticha!!

iliwahi kutokea shule ya sekondari ITIGI-MANYONI, mwalimu alikuwa mlokole wa ASSEMBLIES OF GOD (T.A.G)
 
Sheria zikoje mkuu,mwl anatakiwa kupigwa ndani au ? mwanafunz kabakwa si ndivo?
 
Ukosefu wa kinga mwilini unaosababishwa nakufanya mapenzi na muathirika mwenye virusi vya HIV na pia mambukizi kwa njia nyingine.
kuna wengine wanapata yote ukimwi na mimba!
 
Yaani mwanafunzi huyo anastahili pongezi na tuzo. Alilipiza kisasi maana siku zote tunasikia walimu ndo huwapa wanafunzi mimba, nafuu huyu kijana amewatoa kimasomaso wanafunzi wa kike. Mpe hongera zake!
 
Basi kazi ipo wewe uwo Utamu shida asali kama una madhara uogopi.
shida ni sehemu ya maisha lkn shida nyengine zinaepukika ni muhimu kuwa makini kuliko kuendekeza tamaa
 
shida ni sehemu ya maisha lkn shida nyengine zinaepukika ni muhimu kuwa makini kuliko kuendekeza tamaa
Walimu vijana bado Damu moto wanafunzi ndio wanabalehee na kuvunja hungo kazi ipo ni katika kipindi hicho cha ukuaji nilifanya vibaya sana darasani utamu kuutawala ni kazi, hapo ndio mimba za walimu na wanafunzi utokea.
 
Sheria zikoje mkuu,mwl anatakiwa kupigwa ndani au ? mwanafunz kabakwa si ndivo?
Ngoja nikasome vizuri Sheria ya Elimu ya 1979, kuna kifungu kinasema ni kosa la jinai kwa mtu mzima ku-do na mwanafunzi wa sekondari na primary, au kufanya chochote kile kitakachoharibu mtiririko wa masomo kwa mwanafunzi husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…