napenda kuwajulisha ya kwamba ninaumwa nimegundulika nina homa ya ini "hapetitisB" nipo kwa matibabu tangu juzi Agakhan hospital kwahyo tuombeane.
Nimemiss michango yenu na pia kuona post zinazotujenga vijana, hapa nina drip lakini nimemwambia mke wangu pc yangu ni muhimu ili leo nione notifications zilizonifikia.
Otherwise najisikia vizuri kiasi ukizingatia na siku nimekuja.
Dah, pole sana mkuu! Muamini yeye aliye juu utapona kabisa ndani ya siku chache zijazo! Ila mkuu huwa unashinda jukwaa gani hapa JF au la kule chiniiiiiiiiii, make ID yako ngeni kabisa kwangu, au umetumia ile nyingine?