Mwanae hanitaki kabisa, nifanyeje?

Duh....sijui nichangie nini maana nimesoma mpaka mwisho still bado natafakari..hila poa ngoja niache tu

Baadhi ya vijana wa leo wanapenda slope. Hata aibu hammna! Hichi kisa kimenikumbusha ile habari iliyoletwa hapa ya kifo cha mama mmiliki wa shule moja Dar.
 
Mzazi wako si bado ana akili timamu? if yes basi ni kwa raha zake. Wewe sepa tu mwache aufaidi ulimwengu usije tafuta laana.
 
bora kuwa masikini wa mali kuliko masikini wa akili. mweeeee
 
Hahaha
 
Dah, mimi ningekumwagia tindikali kwenye huo ubolo maana ndicho kinachomvutia mama na si kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…