Mwanadamu na maisha baada ya kifo

Anhaa.. Lakini kumbuka hatujui ukifa roho inakwenda wapi...
 
Kipindi cha nyuma nilikuwa naamini katika hiyo ya dini ya kwenda mbinguni au jehanam

Lakini kwa ss naamini kinachokufa ni mwili tuu ambao unahifadhi roho lakini roho itaendelea kuishi kwenye miili mingine tofaut tofaut miaka nenda rudi

Nilikuwepo, Nipo na Nitakuwepo

Am an Old Soul in a Young Body

Mwamba
 
Mkuuu hapo sijui sana wana theology wangetusaidia ,ila ninaamin Roho inarudi nakuendelea kuishi ,, ikingoja siku ya hukumu ,ikuvae tena alafu ndo mengine yafuate !!.

Ujue swali nihili ,Roho ninin ? Inafananaje ?
Ubaya ni kwamba, suala la roho ni nini, ni mjadala tu wa kinadharia maana hatujawahi kuthibitishiwa kisayansi roho ipoje tuione..

Tunaamini tu km dini itufundishavyo
 
Hiyo hutokea cku ya kiama
 
Kilichokufanya ubadili mtazamo na imani ni nini?
 
Mmmh mm imani yangu IPO katika tunaoamini kuwa IPO siku ya kiyama hivyo yapo maisha baada ya kifo.

Mhh hi ni sayansi ngumu sana maana wapo hadi wanaoamini mungu hayupo....nahakuna maisha baada ya kifo.

Bora uamini yupo tu kuliko ujifanye hayupo alafu siku imefika yupo na yote yasemwayo yapooo......mmmmhh ni hatariiii
 
Wewe imani yako je unaamini mungu yupo hayupo...maana maelezo yako yamenitamanisha kujua hili mkuu..
 
Hakuna kiama mamii,,hzo ni uongezwaji wa chumv kwenye maandiko mbali mbal ya dini mbali mbali

Kumbuka maandiko hayo yaliandikwa na watu km ww tuu,,so haishindikan kuwa walikuwa na maslahi binafsi juu ya maandiko hayo
 
Vitabu na machapisho mbalimbali plus mchujo wa mawazo yngu binafsi

Btw kifo ni hatua tuu toka maisha flan kwenda maisha mengine
Braza mbona hueleweki... Mara unaamini kifo ndo mwisho wa kila kitu... Ooh mara kifo ni mchujo tu toka maisha fulani kwenda maisha mengine.. Which is Which?
 
Braza mbona hueleweki... Mara unaamini kifo ndo mwisho wa kila kitu... Ooh mara kifo ni mchujo tu toka maisha fulani kwenda maisha mengine.. Which is Which?
Ww ndo huelewi dogo? Hapo nimeongelea kifo cha mwili kinachoogopwa na watu wengi, ile ni transition from one life to another

Miili ingekuwa haifi trust me tungekuwa bored, and the good thing after transition hautakuwa na kumbukumbu yoyote kuhusu ur previous life
 
Uzuri ukitubu dakika tano kabla ya kifo unasamehewa makosa yako yote, mimi nasubiri nikianza kuugua pale nitakapoona kuwa huu ugonjwa siwezi kupona ndiyo nitatubu dhambi zangu ili nikaendelee kula raha kwa Mungu
We jidanganye hivyo hivyo kifo huja kama ajali na siyo lazima uugue unaweza ukazima kama umeme saa yoyote hata hapo unaposoma hii comment unaweza ukaanguka hapohapo na ukawa umeiyanza safari ya kuzimu. Kikubwa nikuamini mungu na ukafanya yale yanayo mpendeza mungu na kuacha asiyo yapenda bac.
 
Mmmh iman zingine shida tupu
 
Ubaya ni kwamba, suala la roho ni nini, ni mjadala tu wa kinadharia maana hatujawahi kuthibitishiwa kisayansi roho ipoje tuione..

Tunaamini tu km dini itufundishavyo
Ukisooma dini vyema utajua roho nikitu gani na hao wanasayansi wenyew huwa wanasoma sana dini kwasababu dini imeeleza kila jambo ambalo litatokea na ambayo tamesha tokea kwanzia kuumbwa kwa mbingu na kila kitu hadi mwanadam na ina mwisho pia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…