Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 13,052
- 32,694
daaaaah, aisee
UVNATO hahaaa weeeh😂😂🤣 🤣 🤣 kwani wewe uko chamani ?
😂Tabata Mbezi Beach unapajua shekh ?Amana au Tabata ?
daaaah, unafaidi aisee😂Tabata Mbezi Beach unapajua shekh ?
Huo wimbo wa Mikasi Zay B hayupo ,yupo Rah P.Zay B Wapi Kitu Yule Dada "acha Longolongo We Sema Una Sh Ngapi?"hapo Mixer Ngwear Sijui Na Mo X Alikuwepo
Jina Nimelisahau Aisee Nakumbuka Nlisomaga Alikuwa Marekani Katelekezwa Ana Mtoto
Aisee Yule Mwanamama Namkubali Jamani
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Unajua kuwa Wahehe nao Ni Kabila la Mbwa ?
Nasubiri nikuone Bonge la Ng'ang'a likitimba Pugu kajungeni.