Mwanadada Zay B yupo wapi?

Mwanadada Zay B yupo wapi?

Zay B Wapi Kitu Yule Dada "acha Longolongo We Sema Una Sh Ngapi?"hapo Mixer Ngwear Sijui Na Mo X Alikuwepo
Jina Nimelisahau Aisee Nakumbuka Nlisomaga Alikuwa Marekani Katelekezwa Ana Mtoto
Aisee Yule Mwanamama Namkubali Jamani
Rah P
 
Majibu ya "yupo gado" nimejikuta nacheka kwa sauti mpaka siamini
 
Kisado ni swaga za vina tu. Mashairi yalikuwa pomoni, tele, mchanga, bahari au ya kumwaga......
 
Mwenye picha za sasa za Zay B au namba zake za simu anisaidie tafadhali
 
mpaka mda huu bila bila, nasubiria kapicha hapa
2023-09-02_085033.jpg
 
Back
Top Bottom