Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,606
Huyu dada namuona sana kwenye mitamdao ya kijamii hasa tweeter akijinasibu kuwa mtetezi wa haki za binadam na uhuru wa vyombo cha habari.
Yupo karibu sana na mwenzie Fatuma Karume.
Mwenye CV na back ground yake please atupatie hapa.
Asanteni
Yupo karibu sana na mwenzie Fatuma Karume.
Mwenye CV na back ground yake please atupatie hapa.
Asanteni