Mwanadada aniuzia Camera aliyorekodiwa, nifanyaje?

Ni kweli, inabidi nidili na mmoja baada ya mwingine, nigonge Tigo wote

Ila unapowala tigo usisahau kurekodi mchezo basi kumbukumbu muhimu kwa matumizi ya baadaye.
 

hahahahaha haloooooo
mambo ya multiple ids hayo
UNAANDIKA UZI UNAJIJIBU
 
Zifute tu kama ni kweli ili uwalindie heshima zao na ndoa zao.
kwa jinsi hadithi yake ilivyokaa anaonekana mbea sana huyu awezi kuweka siri huyu tayari alishatangza mtaani na ana nia ya kuziweka eti ili wajifunze afu anakuja apa anaomba ushauri mmfyuuuuuuuuuu
 
Story za uzinzi tu, hivi unasahau kuwa ipo siku hautakuwepo duniani?
 
Peleka gazeti za udaku upate hela wewe, hayo mengine watajua wao tena uza story moja moja kila wiki
 
Pilau! Mkuu ni-pm video 1 kati ya hizo!
 

Endelea kuziangalia wala usichoke
 
what if some1 else akazichukua 4rm yo PC bila ww kujua na ku_take advantage nani atakua na visasi na raia hao. too bad! futa zipotezee kama ni camera umeipata kiurahi deal na camera coz its urs! hizo zngine futilia mbali
 

Mzee story nzuri. Nadhani ungezifuta tu, basi. Ila pamoja na uzuri wa story, dah nashangaa kwamba kumbe hata sisi Watanzania Kiswahili kinatupa shida namna hii!? Mifano tu; ivi badala ya hivi, ilo-hilo, wai-wahi, iyo-hiyo, uku-huku, amisha-hamisha, apa-hapa, naisi-nahisi, awa-hawa, uu-huu na ii-hii!!!
 
Haa haa sawa Shaaban Gonga,nitajirekebisha mkuu
 

Toa copy na umpatie kila mmoja wao na waume zao ili watie akili. Halafu huyo jamaa asije akawa ndio wewe mwenyewe?!
 

Nitumie attachment kwenye Pm kipande kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…