Mwanachuo, natafuta kibarua cha miezi mitatu

Mwanachuo, natafuta kibarua cha miezi mitatu

Njoo upasuke mikono huku msituni tunakata magogo kwa shoka,Chainsaw iliharibika mkuu..huku hakuna kupaka poda,na kuchonga nyusi,mara kupaka bleach,au kunyoa viduku na kuvaa modo.,[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mara kuhezea laptop,.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom