Mwanachuo, natafuta kibarua cha miezi mitatu

Nina mashine ya kusaga na kupack unga na mtaji wa gunia hamsini za kuanzia. Tatizo vijana ni wezi na hawana uvumilivu. Wakiuza wanaanza starehe. Ungekua tofauti ningekualika tu tengeneze work plan. Ila vijana mnaotoka vyuo henyekeni tuu kwanza.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]tupige Kaz bro
 
Nina mashine ya kusaga na kupack unga na mtaji wa gunia hamsini za kuanzia. Tatizo vijana ni wezi na hawana uvumilivu. Wakiuza wanaanza starehe. Ungekua tofauti ningekualika tu tengeneze work plan. Ila vijana mnaotoka vyuo henyekeni tuu kwanza.
Nipe nafasi hutojutia kwakwel me nipo bright san. ....sema Kuna watu wanafany mtu uonekane wa ovyo
 
Nina mashine ya kusaga na kupack unga na mtaji wa gunia hamsini za kuanzia. Tatizo vijana ni wezi na hawana uvumilivu. Wakiuza wanaanza starehe. Ungekua tofauti ningekualika tu tengeneze work plan. Ila vijana mnaotoka vyuo henyekeni tuu kwanza.
Mpe kazi kijana
 
Njoo upasuke mikono huku msituni tunakata magogo kwa shoka,Chainsaw iliharibika mkuu..huku hakuna kupaka poda,na kuchonga nyusi,mara kupaka bleach,au kunyoa viduku na kuvaa modo.,🤣🤣🤣 Mara kuhezea laptop,.
 
Back
Top Bottom