Kumbukeni huyu mtu ana ndugu na jamaa wa karibu ambao wanaomboleza kifo chake kwa uchungu hata kama machoni mwa wengi kinaonekana ni cha kijinga. Hivyo si busara kumhukumu humu. Vile vile hatujui exactly what happened.
Admin naomba utoe thread hii, inaumiza zaidi wapendwa wake kuliko kuelimisha jamii..