Mwanachama mpyaa tafadhali

Helloww guys!! i hope mko poa, mimi ni mwanachama mpya gen Z, mwenzenu, nilikuwa nauliza hivi mabeg niweke wapi???
Karibu kiti ukae,kuhusu begi usijari shemeji Yako atakuhifadhia chumba Cha watoto maana utakua ukilala huko,afu hivo viroba vya Michele na unga watakuwekea jikoni,karibu sana uwe huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…