Mwana wa mfalme kasema

Amebaki mpuuzi mmoja tu aitwaye Iran ndiye kila uchao matamko eti ya kuilaani na kuifuta Israel katika uso wa dunia. Nchi muhimu za middle east ikiwamo Egypt, Jordan, na leo hii Saudia ni marafiki wa Israel hao waajemi hawana lolote. Soon tutaanza kuona direct flights Tel-Aviv - Riyadh; Jerusalem - Mecca; etc. ndio mtajua ujinga haulipi.

Chapa risasi hao magaidi wanaofadhiliwa na bwana yao Iran kwenda kuleta vurugu katika nchi za watu.
 
Kama alikuwa na uwezo ungekuta alishaifuta kitambo ni maneno tu
 
Wapuuzi sana Mkuu. Uifute Israel halafu dunia ikuangalie tu! Watafutwa wao kabla ya Israel.
Sasa uzuri akuna wanafiki na wasiyo na umoja kama warabu yani uyu iran atakungutwa paka ashangae mwenyewe
 


Dini hizi...

Wanadamu mnaauana sababu kuna some funny text said so?

Stupid God,and even stupider christians and moslems!
 
kwenye UNAFIKI.
ndio waislam TUNAFELI.
bora KAFIRI kuliko MUISLAM MNAFIKI.
Ila nadhani kaongea kwa nafasi yake kama Mkuu wa nchi na sio kama kiongozi wa dini.
 
Dini hizi...

Wanadamu mnaauana sababu kuna some funny text said so?

Stupid God,and even stupider christians and moslems!

Maoni yako ni muhimu sana mkuu, lakini hauwezi kutukana watu wengine kana kwamba unawalisha au unawahudumia kwa kuwa wao ni wajinga au wapumbavu.

Maadam kila mmoja anaendesha maisha yake kwa kadri ya uwezo wake, haya mambo mengine yanabaki kama ushabiki wa mipra tu, kila mmoja na timu yake.
 


Nina haki ya kukutukana na wewe una haki hiyo!

Inaitwa haki ya ku-provoke!

Kama hutaki haya inabidi uhame dunia mazima ndio hutakutana nayo!

This is reality!
 
Ila nadhani kaongea kwa nafasi yake kama Mkuu wa nchi na sio kama kiongozi wa dini.
kama ni muislam kweli HAWEZI KUSEMA HIVYO.
amepingana na mungu na Quran.
moja kwa moja.
saudia wapo kimaslahi zaidi.
kama si kitovu cha dini yangu kuwa Saudia.
NISINGEKWENDA SAUDIA.kiufupi siipendi ile nchi.
 


Kitabu kinakwambia ua binadamu mwenzio na wewe unakubali,thats stupidity of highest order!

Mungu anae pangia watu vipande vya ardhi atakua mpuuzi ajabu!
 
Nina haki ya kukutukana na wewe una haki hiyo!

Inaitwa haki ya ku-provoke!

Kama hutaki haya inabidi uhame dunia mazima ndio hutakutana nayo!

This is reality!

Reality? according to who?

Narudia tena, alimradi naendesha maisha yangu na sikuhitaji kwa chochote, nna maamuzi yangu. Sioni shida mwingine kuamini au kushabikia anachoamini, hakina madhara kwangu.

Kwangu kutukana watu sio ustaarab, bila kujali nna haki au sina, siwezi kufanya hivyo, sio kila haki inatumika wakati wote.
 
Kitabu kinakwambia ua binadamu mwenzio na wewe unakubali,thats stupidity of highest order!

Mungu anae pangia watu vipande vya ardhi atakua mpuuzi ajabu!

Sasa kila mtu anamwamini huyo unayemsema mungu? Wako wanaoamini na wako wasiomwamini. Inakuathiri kitu?
Endelea kuamini unachoona kipo sahihi kwako. Ndio maana kuna chaguzi nyingi kila mmoja afanye maamuzi yake.
 
Hapo ndio utakapoona nguvu ya "unafiki".
Kesho utawakuta na makanzu meupe wanaswali eti.
 
Ila nadhani kaongea kwa nafasi yake kama Mkuu wa nchi na sio kama kiongozi wa dini.
Mbona nchi yake inaongozwa kwa sharia..ndo maana wanachinja watu hadharani...utawala wa kinafiki tu ule wanaangalia upepo unapoelekea maana walishapoteza muelekeo muda wowote walijua hawana chao...
 
Kaa kimya hujui siasa za middle east
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…