Mwana Usalama wa Kitaa

Mkuu waliosoma Cuba hizi mambo wanazielewa wanacheza na code Tu!
Hadithi za vijiweni ambako hawajielewi hizi. Mnadhani rais anafakamia vitu hovyo hovyo bila utaratibu maalum? Kile unachoona kwenye hadhara ni sehemu ndogo sana ya mambo mengi yanayoendelea background.
 
Halafu pia ulitakiwa ujiulize kwanini amekuja chap kwako na kuanza kukupa hiyo habari wakati wewe humjui na inaonyesha habari yenyewe ni makini sana.
 
Sikatai kuwa kuna mambo mengi nyuma ya pazia,,,,lkn tukio la mama kumnywesha Raisi mwenzake Kinywaji nalo linafikirisha Sana ujue,,,, huenda kuna ukweli Kwa haya niliyo ambiwa na Mzee wa Cuba
 
Halafu pia ulitakiwa ujiulize kwanini amekuja chap kwako na kuanza kukupa hiyo habari wakati wewe humjui na inaonyesha habari yenyewe ni makini sana.
7seven kila kitu kinawezekana,,,huenda hiyo ishu ni kweli na jamaa friji lake haligandishi Akaona anipe nyepesi nyepesi
 
7seven kila kitu kinawezekana,,,huenda hiyo ishu ni kweli na jamaa friji lake haligandishi Akaona anipe nyepesi nyepesi
Ndio maana nikasema kwanini akupatie wewe? Wasiwasi wangu asije kukupa msala wewe ukaonekana ndiye chanzo cha taarifa halafu ukajikuta uko matatizoni mzee [emoji3][emoji3][emoji3]

Au amejua una connection na vijiwe fulani fulani so ukiitoa hii habari itasambaa haraka, ila kikifuatiliwa chanzo itaonekana taarifa imetoka kinywani mwako [emoji849][emoji848]
 
Daah inafikirisha Sana mkuu! Kuhusu vijiwe kwakweli sina kabisa.
 
Daah inafikirisha Sana mkuu! Kuhusu vijiwe kwakweli sina kabisa.
Dawa ya hizi kitu huwa unakaa nayo kimya baada ya muda inapita. Hii dunia bwana ina mambo mengi sana kama hayajakukuta mengine utaona ni hadithi za kufikirika tu. Ila kwa ushauri wangu hizi mambo uwe unazinyamazia ,wengine wanatafutaga pa kuangushia jumba bovu.
 
Sawa mkuu ushauri wako utazingatiwa
 
Subir sasa nikuelezee hasa hasa ilikuwaje.pale mama ile juis ilikua ya embe kwa vile nakumbuka wakat tupo koz camp david Virginia Langley kwenye koz ile walikuwako marines.hayo mambo tunayajua saan kiundan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…