Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,115
- 26,017
Siwezi kuwa mnafiki mkuu,,,siku moja moja huwa nasikiliza,,,,na usinichukulie kuwa Ni ustaadh kivile ni mwananchi wa kawaida Tu ambaye anajitahidi kuwa mja mwema!Ostaadh anasikiliza mziki hahahaha
Asante mkuu Kwa kuniweka sawa,shukraniHongera kwa kupata madini Ila nchi aliyoitembelea rais Ni msumbiji si malawi
Ok sawa mkuuSiwezi kuwa mnafiki mkuu,,,siku moja moja huwa nasikiliza,,,,na usinichukulie kuwa Ni ustaadh kivile ni mwananchi wa kawaida Tu ambaye anajitahidi kuwa mja mwema!
Isije kuwa Uzi umepamda humu baada kuchoma majani ya Cuba tuu,ila usiache kuendelea kutuhabarisha story za Nzee ya Cuba๐คJioni ya Jana nikaamua niende zangu uwanjani nikacheki vijana wakifanya mazoezi,,,Kwa kawaida mi si mtu wa vijiweni kabisa kwahiyo nikiwa kitaa kama nikiamua kunyoosha miguu Sana Sana ntaenda uwanjani. Sasa hapo ndo tunaweza kutana na wadau tukabadilishana mawili matatu.
Nikiwa pale nikachukua Simu yangu na kufungua app moja ya burudani,Mimi ni mpenzi Sana WA miziki Ile ya taratibu ikiwa endapo nimejisikia kusikiliza mziki,Ile miziki ya kubembeleza na kutuliza akili/slow jam,ndo naanza kusikiliza Ngoma ya Kwanza ya Luther Vandrose inaitwa "Dance with my Father" mara paap mwamba mmoja kafika kanipa salam nami nikatoa ear phone na kumuitikia. Nikiwa katika process za kurudisha ear phone na kusikiliza Ngoma, mwamba akaanzisha story so nikasitisha zoezi la kupata vitu laini na kumsikiliza mshikaji.
Kwa namna alivyokuwa anaongea na kuchambua mambo nikajua huyu atakuwa miongoni mwa wale jamaa waliosomea Cuba Kwa Mzee Fider Castro,,,,mwamba akaniambia Ile ishu ya Mama Samia kumnywesha Raisi wa Malawi Kinywaji ujue watu wanasema ovyo Tu lakini pale ujue kuna Jambo!
Mpaka hapo ikabidi nikae vizur kumsikiliza huyu mwanausalama wa kitaa.
Na mnukuu " Ujue sikia sio kila mtu anampenda mama,kwahiyo huenda Kule Malawi watu wake Kwa maana watu wa Usalama wamemwambia huenda kuna sintofahamu Fulani so mama awe na tahadhari Sana,ndio maana Mheshimiwa akaamua kama kuna ishu kwenye hii glass basi tutapata madhara wote na akaamua kumnywesha kile Kinywaji Yule mwamba" mwisho wa kunukuu.
Nikamuuliza Mzee wa Cuba," sasa je kama Yule Mheshimiwa huko mbele ya safari ikatokea kapata matatizo si huenda Mheshimiwa anaweza kudhaniwa vibaya?" Mwamba akiwa anajiamini na majibu yake akaniambia " Unajua hapo kuna matokeo matatu ima Mama ashinde yeye au apoteze au atoe droo"
Naamini wale mlio soma Cuba kama mshikaji mtakuwa mmemulewa vizur Sana. Kiukweli sikujuta kuacha kusikiliza Ngoma laini na kumsikiliza jamaa kwani alinipa Madini Mengi Sana. Mara paap! Adhana ikasikika kuashiria Mda wa Swala umefika hivyo nikaagana na Mzee wa Cuba na kuondoka,,,Ila next time nikikutana naye tena nitawapa yatayo jiri huko coz jamaa yupo na mambo mingi Sana!
Ni hayo Tu.
unamanisha mchungaji wamalawi alivokuja stendi kuingua alifanya yakeHongera kwa kupata madini Ila nchi aliyoitembelea rais Ni msumbiji si malawi
Nimeishia kusoma hapa,muongo huyo kawadanganya, Rais husafiri na glass zake au hutumia za ubalozi ambazo hutazamwa kwanza pia, lazima ujue Rais hali hovyo ,hata hicho kinywaji sio ajabu wamenunua walinzi wakeUjue sikia sio kila mtu anampenda mama,kwahiyo huenda Kule Malawi watu wake Kwa maana watu wa Usalama wamemwambia huenda kuna sintofahamu Fulani so mama awe na tahadhari Sana,ndio maana Mheshimiwa akaamua kama kuna ishu kwenye hii glass
Mkuu waliosoma Cuba hizi mambo wanazielewa wanacheza na code Tu!Nyusi ni rais wa Malawi?
Acha longolongo bwashee ๐๐
Sawa mkuu Mjumbe hauwawi nitafikisha ujumbeMwambie huyo isalama ccm afatilie mambo ya msingi ya kujenga nchi siyo hayo na mahaba ambayo yanafehedhesha watanzania wazalendo kama mimi
Umetisha Sana mkuu! Ucjal nitashare nanyiIsije kuwa Uzi umepamda humu baada kuchoma majani ya Cuba tuu,ila usiache kuendelea kutuhabarisha story za Nzee ya Cuba๐ค
Umetisha Sana mkuu! Ucjal nitashareIsije kuwa Uzi umepamda humu baada kuchoma majani ya Cuba tuu,ila usiache kuendelea kutuhabarisha story za Nzee ya Cuba๐ค
Sawa mkuu,,,maoni yako yatazingatiwaNimeishia kusoma hapa,muongo huyo kawadanganya, Rais husafiri na glass zake au hutumia za ubalozi ambazo hutazamwa kwanza pia, lazima ujue Rais hali hovyo ,hata hicho kinywaji sio ajabu wamenunua walinzi wake
Alafu sasa hivi kutokana na sayansi na teknlojia Rais hauliwi kishamba hivo, fuatilia Yasser arafat aliwekewa sumu kwenye nguo
Chawa mna wakati mgumu sana this tyme.Jioni ya Jana nikaamua niende zangu uwanjani nikacheki vijana wakifanya mazoezi,,,Kwa kawaida mi si mtu wa vijiweni kabisa kwahiyo nikiwa kitaa kama nikiamua kunyoosha miguu Sana Sana ntaenda uwanjani. Sasa hapo ndo tunaweza kutana na wadau tukabadilishana mawili matatu.
Nikiwa pale nikachukua Simu yangu na kufungua app moja ya burudani,Mimi ni mpenzi Sana WA miziki Ile ya taratibu ikiwa endapo nimejisikia kusikiliza mziki,Ile miziki ya kubembeleza na kutuliza akili/slow jam,ndo naanza kusikiliza Ngoma ya Kwanza ya Luther Vandrose inaitwa "Dance with my Father" mara paap mwamba mmoja kafika kanipa salam nami nikatoa ear phone na kumuitikia. Nikiwa katika process za kurudisha ear phone na kusikiliza Ngoma, mwamba akaanzisha story so nikasitisha zoezi la kupata vitu laini na kumsikiliza mshikaji.
Kwa namna alivyokuwa anaongea na kuchambua mambo nikajua huyu atakuwa miongoni mwa wale jamaa waliosomea Cuba Kwa Mzee Fider Castro,,,,mwamba akaniambia Ile ishu ya Mama Samia kumnywesha Raisi wa Malawi Kinywaji ujue watu wanasema ovyo Tu lakini pale ujue kuna Jambo!
Mpaka hapo ikabidi nikae vizur kumsikiliza huyu mwanausalama wa kitaa.
Na mnukuu " Ujue sikia sio kila mtu anampenda mama,kwahiyo huenda Kule Malawi watu wake Kwa maana watu wa Usalama wamemwambia huenda kuna sintofahamu Fulani so mama awe na tahadhari Sana,ndio maana Mheshimiwa akaamua kama kuna ishu kwenye hii glass basi tutapata madhara wote na akaamua kumnywesha kile Kinywaji Yule mwamba" mwisho wa kunukuu.
Nikamuuliza Mzee wa Cuba," sasa je kama Yule Mheshimiwa huko mbele ya safari ikatokea kapata matatizo si huenda Mheshimiwa anaweza kudhaniwa vibaya?" Mwamba akiwa anajiamini na majibu yake akaniambia " Unajua hapo kuna matokeo matatu ima Mama ashinde yeye au apoteze au atoe droo"
Naamini wale mlio soma Cuba kama mshikaji mtakuwa mmemulewa vizur Sana. Kiukweli sikujuta kuacha kusikiliza Ngoma laini na kumsikiliza jamaa kwani alinipa Madini Mengi Sana. Mara paap! Adhana ikasikika kuashiria Mda wa Swala umefika hivyo nikaagana na Mzee wa Cuba na kuondoka,,,Ila next time nikikutana naye tena nitawapa yatayo jiri huko coz jamaa yupo na mambo mingi Sana!
Ni hayo Tu.
๐๐๐....hata waliosomea Cuba nao ni chawa?Chawa mna wakati mgumu sana this tyme.
Ngona mchenga mdundo wenye chenga chenga