Mwana ume 42 NA Mwanamke 49 wanataka kuoana

Bijou

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
1,249
Reaction score
360
WAna janvi age is just a number, Nina rafiki yangu Ana miaka 42, amepata mchumba Ana miaka 49, wanapenda na sana wanataka kuoana, nini maoni yako?
 
Huja sema nani 42 na nani49
Je mwanaume ndiye 42 na mwanamke 49??????
Hebu weka sawa tushauri tuonavyo ndugu:A S confused:
 
Angalia heading Mkuu, mwanaume 42 NA Mwanamke ni 49
 
hapo hakuna tatizo kabisa kama wanapendana..kimbembe kipo tu wakitaka mtoi huyo mwanamke wa 49 ataconceive na akiconceive mtoi atazaliwa akiwa ok???kwani wataalam wanasema kwa mwanamke akifikisha 45 kupata mtoi ni shida kidogo au anaweza kuzaliwa akiwa na mushkeli...ni maoni tuu.
 
wacha wale vyao bwana umri si tatizo....kikubwa wote zi gongomoke tu.....
 
WAna janvi age is just a number, Nina rafiki yangu Ana miaka 42, amepata mchumba Ana miaka 49, wanapenda na sana wanataka kuoana, nini maoni yako?

Ng'ombe hazeeki maini!
 
Menopause hiyooo!
Ila kama hawataki mtoto ni kuchangamsha damu fresh tu!
Duh ila jamaa nae kachelewa wapi?au alifiwa na mke?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
hapo hakuna tatizo kabisa kama wanapendana..kimbembe kipo tu wakitaka mtoi huyo mwanamke wa 49 ataconceive na akiconceive mtoi atazaliwa akiwa ok???kwani wataalam wanasema kwa mwanamke akifikisha 45 kupata mtoi ni shida kidogo au anaweza kuzaliwa akiwa na mushkeli...ni maoni tuu.

nimependa 'mtoi'
 
Huja sema nani 42 na nani49
Je mwanaume ndiye 42 na mwanamke 49??????
Hebu weka sawa tushauri tuonavyo ndugu:A S confused:

[h=2]Mwana ume 42 NA Mwanamke 49 wanataka kuoana.[/h]mkuu hukuona title ya huu uzi hapo juu???
 
^^
Kama wanapendana,,nafasi yako ktk uhusiano wao ni ipi?
^^
 
Back
Top Bottom