Haji Manara anakwenda kufaidika na msimamo wa yanga katika kila matokeo ya uamuzi wa kugomea mechi
Yanga kama hawatapeleka timu, kanuni zitafuatwa, Simba atafaidika na maamuzi. Hili likifanyika jamaa ataenda kuchekea chooni! Mwana Simba huyu. Siku akifa ndio atakuwa Yanga maana aliapa mwenyewe.
Pili hasira za wanayanga dhidi ya mtesi wake ( Haji) Karia zitamfanya achekee sebuleni kwake huku akijisifu kuwa master mind wa tukio lote.
Wanayanga starring wa hii muvi ni Haji Manara.
Ndio kapanga haya matukio yote kuanzia makomandoo kuwazuia Simba, kupanga Simba waende na wazee wafupi na mbuzi, Simba kuandika barua ya kutokwenda kwenye mechi (hapa ilikuwa danganya toto maana wangecheza tu), bodi ya ligi kuahirisha mechi na hatimae Manara kuwa mshindi kwa kuhamasisha manyumbu watoe matamko nchi nzima.
Bado tu tukio kubwa la Yanga kutopeleka timu hapo malengo ya Haji yatakuwa yametimia.