mwana mpotevu nasty nimeonekana leo!!!!!!!!!

mwana mpotevu nasty nimeonekana leo!!!!!!!!!

beibe nasty

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
1,640
Reaction score
525
habari za masiku wakubwa zangu, akina dada madame B, my bro Mentor, my shem Erickb52, my dad Watu8,babu Asprin,na wengi wengineo....... nimemiss sehemu hii kiukweli ila kuna majanga yalinipata na hata hivo bado kuna tatizo ndo mana hamnioni kiivo ila naaminhakija haribika kitu nawapenda sana hata kama kuna mwenye chuki nami basi mi nampendaaaaaa weeee.
kwa maelezo zaidi nisubirie hapo hapo au kama unahis unaswali lolote uliza maana simkaaji saaana.
ni mimi beibe nasty.:A S-heart-2::yo:
 
karibu shemeji beibe nasty hayo majanga yashindwe na yalegee in the name of jesus.ludi kundin moja kwa moja
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaaa wote tuseme amen......l............:smile-big:
 
Afu beibe nasty unasubiri mpaka charminglady ameaga nawe ndio unaingia?

Vipi mambo bibie? mabuku vipi wayabukuaje?

Pole sana kwa ule mkasa uloniambia.

Karibu sana mpz na usitoroke tena eeh!
 
Last edited by a moderator:
Sijui nimekukuta au ndio ushaondoka...naona hata upande wa pili umepotea vilevile!
 
Afu beibe nasty unasubiri mpaka charminglady ameaga nawe ndio unaingia?

Vipi mambo bibie? mabuku vipi wayabukuaje?

Pole sana kwa ule mkasa uloniambia.
teh teh teh imiss this mmh acha tuu nakwambia si unajua tena digitaliii kipenziiiii


Karibu sana mpz na usitoroke tena eeh!

ahsante my dear teh teh wacha tuu mabuku ni vumbi etii yan magumu aje ila nakaza hivo hivo miss uuu sana mpenzi.
 
Sijui nimekukuta au ndio ushaondoka...naona hata upande wa pili umepotea vilevile!

dad i got majanga we acha tuu nimerudishwa nyuma kimaendeleo aiseee. imiss u mnooo
 
habari za masiku wakubwa zangu, akina dada madame B, my bro Mentor, my shem Erickb52, my dad Watu8,babu Asprin,na wengi wengineo....... nimemiss sehemu hii kiukweli ila kuna majanga yalinipata na hata hivo bado kuna tatizo ndo mana hamnioni kiivo ila naaminhakija haribika kitu nawapenda sana hata kama kuna mwenye chuki nami basi mi nampendaaaaaa weeee.
kwa maelezo zaidi nisubirie hapo hapo au kama unahis unaswali lolote uliza maana simkaaji saaana.
ni mimi beibe nasty.:A S-heart-2::yo:

Pole sana kwa maswahibu yalokukuta shost....


Ila ndo umekuja wakati mie naagaaga... Nakwenda somewhere, so sitaonekana jamvini kwa muda usiojulikana... Baki salama ukiiwakilisha vyema Mwanza Wing a.k.a The Rock City
 
Back
Top Bottom