Mkuu wa Taji wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, ameripotiwa kumshawishi Rais wa Marekani, Donald Trump, kuendelea kuongeza shinikizo dhidi ya Iran, akieleza kuwa mgogoro huo ni “fursa ya kihistoria” ya kubadilisha nguvu za kisiasa katika Mashariki ya Kati na kudhoofisha utawala wa Iran.
Inaelezwa kuwa mataifa ya Ghuba, hasa Saudi Arabia, yanaanza kuchukua msimamo wazi zaidi huku mvutano ukiongezeka, na baadhi yao yakikaribia kuunga mkono hatua za kijeshi dhidi ya Iran kufuatia mashambulizi ya karibuni.
Kwa ujumla, hali ya eneo hilo inaonyesha wazi kuwa mataifa makubwa yanaanza kujipanga upande mmoja au mwingine, huku nafasi ya kubaki katikati (neutral) ikizidi kuwa ndogo