Mwana Mbea una deal nae vipi?

Mwana Mbea una deal nae vipi?

skia tu kwa mwenzio
kuwa na mshkaji mropokaji inaboa asee
yani bora awe wa kike
sababu kwanza Automatically kuna baadhi ya mambo hawezi kuyajua
sababu ww n wa kiume yeye wa kike

Daah nna huyu mshkaj wangu hana kifua wala koromeo kabisa
yan anaongea chochote haoni shda anamwambia nani
mbaya zaid kuna muda ambao let’s say anakua Discussn na mademu daah unakuta anaongea tu sawa sio habari za kunikandia sababu m n mshkaji wake
lakin mm asee hakuna kitu spendi kama mtu kuwaambia watu taarifa zangu hovyo hovyo
hata kama n za kawaida especially watu ambao sina Chemistry nao
Nkaanza kujitahid kumficha jamaa sensitive details kunihusu
mfano mahusiano namwambia Mi sna demu
yan ndo kabsa naona hata bora nsngemwambia maana jamaa anawaambia hadi madem “jamaa ata demu hana”
au unakuta mnapiga stori na wadau kibao mara paap jamaa anaropoka “yan mwanang sku ukiingia kwenye Mahusiano” Daah kdadeq
Washkaji naoo “daah oya mwanetu hauna demu???
Jamaa chochote anaongea tu
anaropoka tu
unakuta mmekaa na wadau na mademu jamaa mara aanze kuongea mambo yangu ya kubeti mbele za watu
mara ooh oya betting ztakuua
Daah wakati maskini hata kubeti mm sio kivile unakuta mara moja moja labda nmuombe mtu mkeka wake ndo ni place maana hata kusuka mkeka siwez na staki kujua
so ni nadra sana jamaa tu nlimuonyeshag kama mara mbili ivi mikeka niliyo place

Msaada jaman huyu jamaa mi sielew hata nifanyej
Napenda Maisha cool, Private so kila mtu anakujua uko ivi uko vile unafanya vile bila ridhaa yako
maana mshkaj kwenye suala la kumficha taarifa zangu n ngumu maana jamaa any time anaibuka getho kwangu
Muda wowote ananifuma na Mchumba hata nikimdanganya kazi bure tu
Na jamaa getho kwake so mbali dk zero tu

Kuhusu jamaa kumchana ni kazi bure ataishia tu kuniona mbaya af mMi ndo mshkaj wake Mkubwa though mMi wana Kibao akiwemo
Maana ata nkisema nimkatae Ntamzuia kuja getho?!
maana kuna demu ashamchana mara kadhaa lakini haijasaidia mpaka demu anataka tu ahame mtaa maana taarifa zake ni kama anampelekeaga Millard ayo azipost..,&&

Msaada wadau how ar u dealing with such kinda pipo
Wana wa hivi kaa nao MITA 800 na hapaswi kujua zako za ndani,


Maana wanaume tuna code zetu kwahiyo kama mwana anagawa code huyo siyo mwana
 
Ukimaliza chuo na ukija mtaani AKILI itakua wote mafala wew na huyo jamaa yako
 
Kuna muda ni Bora kukosana kuliko mazoea ya kiboya
 
Back
Top Bottom