Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,351
Kilichokuleta sio umezaliwa hapo darSio wote Madam wengne mbna tuko busy na kilichotuletaš„¹

Apo kuwa busy unyama nmekupata,
ila kuhama kisa jamaa mbna kama uongo kakaš„²š„²

Apo ni kuepusha mambo ya kuja gero qwaqo bila taarifa maan makazi mapya hawez kuyafaham na utaishi maisha poa ya kujiachia
Nb mi sio kaka unataka kuninyima nini![]()

Ukuni gani huu wa kuwashia moto jikon?Apigwe ukuni uone kama atatangaza?
MwijakuUmbea nao unaendana na maene, lakini kiukweli wanaume wa dar ni wambea sana, tena sana, sehemu ambako hakuna wambea ni arusha na mwanza.
Oooh so sorry bhna skujuaa id imekaa ki sniper sana
ila sjakunyima kitu
nikihama uje kunitembelea
maana sitamuonyesha kama ulivyo nishaurš„²š„²

mapema sana nakuja kkusaidia kupanga vituUnamwogopea nini kua real mchane pia mwepuke kua jasusi ishinae Kwa akili kama Kuna benefits unapata kutoka kwake....skia tu kwa mwenzio
kuwa na mshkaji mropokaji inaboa asee
yani bora awe wa kike
sababu kwanza Automatically kuna baadhi ya mambo hawezi kuyajua
sababu ww n wa kiume yeye wa kike
Daah nna huyu mshkaj wangu hana kifua wala koromeo kabisa
yan anaongea chochote haoni shda anamwambia nani
mbaya zaid kuna muda ambao letās say anakua Discussn na mademu daah unakuta anaongea tu sawa sio habari za kunikandia sababu m n mshkaji wake
lakin mm asee hakuna kitu spendi kama mtu kuwaambia watu taarifa zangu hovyo hovyo
hata kama n za kawaida especially watu ambao sina Chemistry nao
Nkaanza kujitahid kumficha jamaa sensitive details kunihusu
mfano mahusiano namwambia Mi sna demu
yan ndo kabsa naona hata bora nsngemwambia maana jamaa anawaambia hadi madem ājamaa ata demu hanaā
au unakuta mnapiga stori na wadau kibao mara paap jamaa anaropoka āyan mwanang sku ukiingia kwenye Mahusianoā Daah kdadeq
Washkaji naoo ādaah oya mwanetu hauna demu???
Jamaa chochote anaongea tu
anaropoka tu
unakuta mmekaa na wadau na mademu jamaa mara aanze kuongea mambo yangu ya kubeti mbele za watu
mara ooh oya betting ztakuua
Daah wakati maskini hata kubeti mm sio kivile unakuta mara moja moja labda nmuombe mtu mkeka wake ndo ni place maana hata kusuka mkeka siwez na staki kujua
so ni nadra sana jamaa tu nlimuonyeshag kama mara mbili ivi mikeka niliyo place
Msaada jaman huyu jamaa mi sielew hata nifanyej
Napenda Maisha cool, Private so kila mtu anakujua uko ivi uko vile unafanya vile bila ridhaa yako
maana mshkaj kwenye suala la kumficha taarifa zangu n ngumu maana jamaa any time anaibuka getho kwangu
Muda wowote ananifuma na Mchumba hata nikimdanganya kazi bure tu
Na jamaa getho kwake so mbali dk zero tu
Kuhusu jamaa kumchana ni kazi bure ataishia tu kuniona mbaya af mMi ndo mshkaj wake Mkubwa though mMi wana Kibao akiwemo
Maana ata nkisema nimkatae Ntamzuia kuja getho?!
maana kuna demu ashamchana mara kadhaa lakini haijasaidia mpaka demu anataka tu ahame mtaa maana taarifa zake ni kama anampelekeaga Millard ayo azipost..,&&
Msaada wadau how ar u dealing with such kinda pipo![]()
Mwambie sitaki, SITAKII SITAKII kwa msisitizo, then eka mipaka ulichomwambia kinamtosha.......skia tu kwa mwenzio
kuwa na mshkaji mropokaji inaboa asee
yani bora awe wa kike
sababu kwanza Automatically kuna baadhi ya mambo hawezi kuyajua
sababu ww n wa kiume yeye wa kike
Daah nna huyu mshkaj wangu hana kifua wala koromeo kabisa
yan anaongea chochote haoni shda anamwambia nani
mbaya zaid kuna muda ambao letās say anakua Discussn na mademu daah unakuta anaongea tu sawa sio habari za kunikandia sababu m n mshkaji wake
lakin mm asee hakuna kitu spendi kama mtu kuwaambia watu taarifa zangu hovyo hovyo
hata kama n za kawaida especially watu ambao sina Chemistry nao
Nkaanza kujitahid kumficha jamaa sensitive details kunihusu
mfano mahusiano namwambia Mi sna demu
yan ndo kabsa naona hata bora nsngemwambia maana jamaa anawaambia hadi madem ājamaa ata demu hanaā
au unakuta mnapiga stori na wadau kibao mara paap jamaa anaropoka āyan mwanang sku ukiingia kwenye Mahusianoā Daah kdadeq![]()
Washkaji naoo ādaah oya mwanetu hauna demu???
Jamaa chochote anaongea tu
anaropoka tu
unakuta mmekaa na wadau na mademu jamaa mara aanze kuongea mambo yangu ya kubeti mbele za watu
mara ooh oya betting ztakuua
Daah wakati maskini hata kubeti mm sio kivile unakuta mara moja moja labda nmuombe mtu mkeka wake ndo ni place maana hata kusuka mkeka siwez na staki kujua
so ni nadra sana jamaa tu nlimuonyeshag kama mara mbili ivi mikeka niliyo place
Msaada jaman huyu jamaa mi sielew hata nifanyej
Napenda Maisha cool, Private so kila mtu anakujua uko ivi uko vile unafanya vile bila ridhaa yako
maana mshkaj kwenye suala la kumficha taarifa zangu n ngumu maana jamaa any time anaibuka getho kwangu
Muda wowote ananifuma na Mchumba hata nikimdanganya kazi bure tu
Na jamaa getho kwake so mbali dk zero tu
Kuhusu jamaa kumchana ni kazi bure ataishia tu kuniona mbaya af mMi ndo mshkaj wake Mkubwa though mMi wana Kibao akiwemo
Maana ata nkisema nimkatae Ntamzuia kuja getho?!
maana kuna demu ashamchana mara kadhaa lakini haijasaidia mpaka demu anataka tu ahame mtaa maana taarifa zake ni kama anampelekeaga Millard ayo azipost..,&&
Msaada wadau how ar u dealing with such kinda pipo![]()
Unamwogopea nini kua real mchane pia mwepuke kua jasusi ishinae Kwa akili kama Kuna benefits unapata kutoka kwake....
Yaan aje tu kusikia umefanya ichi au kile wewe ishi nae Kwa akili kubwa unatakiwa uwe mbele ya muda kuishi na watu kama hao....

mapema sana nakuja kkusaidia kupanga vitu
Siku ukiwa mwanaume, situation ndogo kama hiyo haiwezi kukusumbua.
Ww kipindi ulvokuwa mwanamke ulikua una solve vpi boss
Huo Muda wa kupiga stori mnaupata wapi?