Mwana Mbea una deal nae vipi?

Kuna thin line kati ya malezi ya single parenting na mtu kuwa mmbea.
 
Apo kuwa busy unyama nmekupata,
ila kuhama kisa jamaa mbna kama uongo kaka🄲🄲

Apo ni kuepusha mambo ya kuja gero qwaqo bila taarifa maan makazi mapya hawez kuyafaham na utaishi maisha poa ya kujiachia
Nb mi sio kaka unataka kuninyima nini[emoji3][emoji3]
 
Apo ni kuepusha mambo ya kuja gero qwaqo bila taarifa maan makazi mapya hawez kuyafaham na utaishi maisha poa ya kujiachia
Nb mi sio kaka unataka kuninyima nini[emoji3][emoji3]

Oooh so sorry bhna skujuaa id imekaa ki sniper sana [emoji16]
ila sjakunyima kitu
nikihama uje kunitembelea
maana sitamuonyesha kama ulivyo nishaur🄲🄲
 
Oooh so sorry bhna skujuaa id imekaa ki sniper sana [emoji16]
ila sjakunyima kitu
nikihama uje kunitembelea
maana sitamuonyesha kama ulivyo nishaur🄲🄲

[emoji3][emoji3][emoji3] mapema sana nakuja kkusaidia kupanga vitu
 
Unamwogopea nini kua real mchane pia mwepuke kua jasusi ishinae Kwa akili kama Kuna benefits unapata kutoka kwake....

Yaan aje tu kusikia umefanya ichi au kile wewe ishi nae Kwa akili kubwa unatakiwa uwe mbele ya muda kuishi na watu kama hao....
 
Mwambie sitaki, SITAKII SITAKII kwa msisitizo, then eka mipaka ulichomwambia kinamtosha.......
Nlkuwa na jamaa km huyo japo haropok yangu.... Kwanza sjawah toa sir zangu even ata mahusiano.... Ni yake Ila alkuwa anaboa..... Nilimkanya hakuskia nikawa nampotezea akajirekebisha japo sio kirahs
 
Unamwogopea nini kua real mchane pia mwepuke kua jasusi ishinae Kwa akili kama Kuna benefits unapata kutoka kwake....

Yaan aje tu kusikia umefanya ichi au kile wewe ishi nae Kwa akili kubwa unatakiwa uwe mbele ya muda kuishi na watu kama hao....

Thanks Boss nmekupata Vzuri[emoji2935][emoji736]
 
Huo Muda wa kupiga stori mnaupata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…