Jumakidogo R I P Joined Jul 16, 2009 Posts 1,851 Reaction score 427 Jun 27, 2012 #21 ruttashobolwa said: yan hata haja gusia kakatiswa lakini sidhani kama alipanga kuongea hili jambo! Click to expand... Alikuwa kalisahau, akalikumbuka mwishoni wakati muda ushaisha.
ruttashobolwa said: yan hata haja gusia kakatiswa lakini sidhani kama alipanga kuongea hili jambo! Click to expand... Alikuwa kalisahau, akalikumbuka mwishoni wakati muda ushaisha.
sosoliso Platinum Member Joined May 6, 2009 Posts 8,543 Reaction score 9,480 Jun 27, 2012 #22 Mtaniwia radhi bt huyu jamaa ni mnafiki.. Kwa jinc hii issue ilivyo hot angeanza nayo moja kwa moja.. Ameleta usanii akaja kuigusia wakati muda umeisha.. Nakumbuka amewahi kusema hapa siasa kwake ni game..
Mtaniwia radhi bt huyu jamaa ni mnafiki.. Kwa jinc hii issue ilivyo hot angeanza nayo moja kwa moja.. Ameleta usanii akaja kuigusia wakati muda umeisha.. Nakumbuka amewahi kusema hapa siasa kwake ni game..
L Le Grand Alexei Senior Member Joined Nov 9, 2011 Posts 116 Reaction score 83 Sep 26, 2014 #23 Huyu si ndiye Kigwangala anayeomba Urais ama ni mwingine?
K Kilaza JF-Expert Member Joined Feb 28, 2013 Posts 3,324 Reaction score 1,379 Sep 26, 2014 #24 Le Grand Alexei said: Huyu si ndiye Kigwangala anayeomba Urais ama ni mwingine? Click to expand... alaaniwe j.k kwa kupafanya ikulu ionekane kama danguro mpaka washenzi wanapatamani
Le Grand Alexei said: Huyu si ndiye Kigwangala anayeomba Urais ama ni mwingine? Click to expand... alaaniwe j.k kwa kupafanya ikulu ionekane kama danguro mpaka washenzi wanapatamani