ili mtu awe bora lazima awe amefanya yafuatayo:
1. ametoa fursa za ujasiria mali hapa jf
2. ametoa misimamo ya namna ya kujikomboa kutoka kwenye umaskini hadi utajiri
3. mada zake zina ukombozi na zina uzalendo kwa mtanzania
4. ameimiza sana vijana kupiga kazi na kujikomboa na umaskini
5. hana itikadi za chama chochote cha siasa,yeye ni mshauri tu wa jambo lolote
MWISHO: MWENYE HIZO SIFA HUMU NDO ATAKUWA GREAT THINKER BORA