Mkuu all in all,lara1 anatuburudisha.she is a story teller.ukisoma posts zake unafurahi.Mshana J nae ni mzuri kwenye mambo yasiyoonekana.Pasco ni mzuri kwenye kutupa feedback ya kinachoendelea kwenye siasa.Ukiacha Pasco pia kwenye GT kuna vichwa kama wakina Mkuu Nguruvi(respect),na wengine wengi.Naomba tuzo za heshima zitolewe kwenye kila groups.kwenye group la MMU namchagua Lara1.kwenye GT namchaguaNguruvi.kwenye siasa namchagua Pasco.kwenye habari mchanganyiko namchagua Mshana J na Faiza Foxy.kwenye celebrities namchagua Lara1,Nifah na Warumi