Mwana Halisi: Vigogo wamiminika kwenda kumhiji Hayati Magufuli

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Gazeti la Mwana Halisi la leo limekuja na ripoti ya namna vigogo wa serikali na chama wanavyomiminika kimyakimya kwenda Chato kumhiji na kufagia kaburi la aliyekuwa rais wa awamu ya tano!

Swali la kujiuliza kuna nini kinaendelea ndani ya chama na serikali?
IMG_2725.jpg
 
Gazeti la Mwana Halisi la leo limekuja na ripoti ya namna vigogo wa serikali na chama wanavyomiminika kimyakimya kwenda Chato kumhiji na kufagia kaburi la aliyekuwa rais wa awamu ya tano!

Swali la kujiuliza kuna nini kinaendelea ndani ya chama na serikali?View attachment 2868319
Magufuli, Rais aliyeipenda,kuitumikia na kujitoa kwa moyo wote kwa Tanzania na Watanzania. Kama kuna mtu alihusika kumtoa mwana huyu,mungu shughulika naye.
 
Back
Top Bottom