Jr Xavi Hernandez Senior Member Joined Feb 25, 2022 Posts 182 Reaction score 261 Jan 2, 2023 #1 Siku mwana FA akiimba ngoma kali kuizidi BINAMU naombeni mnishtue... Hii Binamu imejaa punchline sana,Beat moja nzito kutoka kwa Marco Chali....Flow unyama kabisa!
Siku mwana FA akiimba ngoma kali kuizidi BINAMU naombeni mnishtue... Hii Binamu imejaa punchline sana,Beat moja nzito kutoka kwa Marco Chali....Flow unyama kabisa!
Da Vinci XV JF-Expert Member Joined Dec 7, 2019 Posts 3,871 Reaction score 6,468 Jan 2, 2023 #2 Ngoja niiskilize kwanza
92 jerrie JF-Expert Member Joined Feb 28, 2022 Posts 7,425 Reaction score 17,063 Jan 2, 2023 #3 Mziki ni hisia na zinatofautian baina ya mtu namtu mwingine ataona mfalme ni kali zaidi ya hiyo binamu hivyo mawazo na hisia zako zikeanguka kwa binamu
Mziki ni hisia na zinatofautian baina ya mtu namtu mwingine ataona mfalme ni kali zaidi ya hiyo binamu hivyo mawazo na hisia zako zikeanguka kwa binamu
MAWEED JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 3,970 Reaction score 13,660 Jan 2, 2023 #4 Ngoja niiskize ntarudi
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,774 Reaction score 54,843 Jan 2, 2023 #5 Mimi na mabinti damu damu Ingekuwa vipi? Mfalme
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,590 Reaction score 60,796 Jan 2, 2023 #6 hits zake nazipenda 1. mabinti 2. wanapendana feat. dully sykes
Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,138 Reaction score 7,398 Jan 2, 2023 #7 Jr Xavi Hernandez said: Siku mwana FA akiimba ngoma kali kuizidi BINAMU naombeni mnishtue... Hii Binamu imejaa punchline sana,Beat moja nzito kutoka kwa Marco Chali....Flow unyama kabisa! Click to expand... Studio Ni kama kwa records
Jr Xavi Hernandez said: Siku mwana FA akiimba ngoma kali kuizidi BINAMU naombeni mnishtue... Hii Binamu imejaa punchline sana,Beat moja nzito kutoka kwa Marco Chali....Flow unyama kabisa! Click to expand... Studio Ni kama kwa records
Raphael Thedomiri JF-Expert Member Joined Sep 1, 2019 Posts 443 Reaction score 729 Jan 2, 2023 #8 Kwa kweli
T Tupakule Senior Member Joined Jun 28, 2018 Posts 108 Reaction score 448 Jan 2, 2023 #9 Kuna 1 mfalme 2. Ameen ft dully 3.binamu 4. Angalau wee endelea tuu
T Tour De France JF-Expert Member Joined Jun 12, 2014 Posts 345 Reaction score 336 Jan 2, 2023 #10 Niite mfalme wa jungle, boss wa dunia yangu angetaka angeniumba fungo!! tulia tuliza akili halafu sikiliza mfame ....msikilize na GNAKO Kwenye chorus.. dah acha kabisa, yule mjinga huwa atatuliza akili bana!
Niite mfalme wa jungle, boss wa dunia yangu angetaka angeniumba fungo!! tulia tuliza akili halafu sikiliza mfame ....msikilize na GNAKO Kwenye chorus.. dah acha kabisa, yule mjinga huwa atatuliza akili bana!
Mbwilimbwili Senior Member Joined Jun 30, 2020 Posts 183 Reaction score 282 Jan 2, 2023 #11 msiache kuongea
D donga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2017 Posts 2,560 Reaction score 5,234 Jan 2, 2023 #12 Fa na jide ile ngoma ndio kali jina nimelisahau
T Ta Nanka JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 1,350 Reaction score 2,083 Jan 2, 2023 #13 Jr Xavi Hernandez said: Siku mwana FA akiimba ngoma kali kuizidi BINAMU naombeni mnishtue... Hii Binamu imejaa punchline sana,Beat moja nzito kutoka kwa Marco Chali....Flow unyama kabisa! Click to expand... Vipi kuhusu "Tuliza ball"? Na ule unyama wa kwenye outro yake sasa!
Jr Xavi Hernandez said: Siku mwana FA akiimba ngoma kali kuizidi BINAMU naombeni mnishtue... Hii Binamu imejaa punchline sana,Beat moja nzito kutoka kwa Marco Chali....Flow unyama kabisa! Click to expand... Vipi kuhusu "Tuliza ball"? Na ule unyama wa kwenye outro yake sasa!
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,359 Reaction score 88,543 Jan 2, 2023 #14 Msiache Kuongea.
Jackson996 JF-Expert Member Joined Oct 5, 2019 Posts 820 Reaction score 1,373 Jan 2, 2023 #15 Msanii wangu wa hip hop wa mda wote kwangu nyimbo yangu bora kwake n MFALME Umu kaongea Sana uyu Mzee
Msanii wangu wa hip hop wa mda wote kwangu nyimbo yangu bora kwake n MFALME Umu kaongea Sana uyu Mzee
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,151 Reaction score 88,842 Jan 2, 2023 #16 dronedrake said: 2. wanapenda feat. dully sykes Click to expand... Hii ngoma qmmmmk knm.
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,590 Reaction score 60,796 Jan 2, 2023 #17 Mad Max said: Hii ngoma qmmmmk knm. Click to expand... hatari sana iyo mzee,
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,943 Reaction score 23,883 Jan 2, 2023 #18 Duh..long time..
Jr Xavi Hernandez Senior Member Joined Feb 25, 2022 Posts 182 Reaction score 261 Jan 2, 2023 Thread starter #19 data said: Duh..long time.. Click to expand... Kachana saana
Jr Xavi Hernandez Senior Member Joined Feb 25, 2022 Posts 182 Reaction score 261 Jan 2, 2023 Thread starter #20 Jackson996 said: Msanii wangu wa hip hop wa mda wote kwangu nyimbo yangu bora kwake n MFALME Umu kaongea Sana juu Mzee Click to expand... Anajua sana..
Jackson996 said: Msanii wangu wa hip hop wa mda wote kwangu nyimbo yangu bora kwake n MFALME Umu kaongea Sana juu Mzee Click to expand... Anajua sana..